HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za Kiafrika zimarudi kwa kasi.
Vinyago vya Wakongo.
Leo hii Waafrika wengi wajinga bado wamejiunga na dini za Ukristo na Uislamu zinazomtangaza Mungu mmoja.
Imani hizo za Kiafrika zilikuwepo tangu miaka mingi katika sehemu kadhaa za Afrika lakini katika maeneo mengine dini za Ukristo na Uislamu ulienea tu vizazi vichache vilivyopita zikiendelea hadi leo.
Dini za asili, Ukristo na Uislamu zinaathiriana katika Afrika. Hivyo kuna watu ambao wanafuata imani za jadi au walau sehemu za imani hizo. Kwa hiyo inafaa kupata picha ya imani katika jamii za Waafrika jinsi zilivyokuwa kabla ya kuguswa na Uislamu na Ukristo.
Dini za Kiafrika zinafuata imani maalumu, sawa kabisa na hizo za nje ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa karne nyingi, zimehimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu Mungu kadiri ya miongozo yao wenyewe.
Madhehebu mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kwa kushirikiana na wafu wanaoheshimiwa kama watakatifu, wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi WAZEE wao waliokufa na kuwaita MIZIMU. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye makaburi yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa sala zao pamoja na kusujudu sanamu au picha za hao wafu i.e.yesu
Katika Amri Kumi za Biblia, Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.
Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea wokovu kwa njia ya Yesu Kristo, aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika binadamu wote na siyo WATU wote.
Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya makabila yanaendelea na mila zao za kuheshimu wafu ingawa dini zenye asili ya Mashariki ya Kati zinakataza namna hiyo.
Naimani umejielewa vizuri!!