Dina Marios: Pengo lililoshindikana kuzibika Clouds FM

Akili zako sijui zikoje. Hiyo radio haifikii Musoma.

Mkuu unaweza kusikiliza hiyo radio sio Musoma tu, hata ukiwa Australia inawezekana. Angalia kwenye tunein.com hapo unaweza kusikiliza hizo radio zote. Mi niko Rotterdam lakini nakula radio za nyumbani kama kawa
 
Acha kujishaua wewe. Eti Rotterdam? Fyuuuuuuuuuuuuzzzzz.
 
Dina bonge na mtangazaji anaptkana efm fans wake tumpata huko penda sana huyu dada
 
kina husna abdul wako poa tu tena kipindi kimechangamka hata kuliko kipindi yupo dina...
clouds wanajua kutengeneza watu aisee!!!
ila ushauri wangu kwa menejiment ya clouds wawashauri watangazaji wao wapige shule yaani uelewa wao wa mambo ni mdogo sana...
"
 
Nanamshukuru Mungu koto nipa ushabiki wa wakumshabikia mtangazaji au Radio, Zaidi ya timu za mpira wa miguu. Nasikiliza E. FM, kipindi Sport HQ jioni saa 18:30 Kuna kipindi jina nimesahau ila watu wasimulia mikasa waliyokutana nayo. Saa 17:00 kipindi cha michezo, J.pili, baada ya michezo kipindi muziki wa zamani, vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba navyo. Radio Uhuru kila jumamosi saa 21:30 kuna kipindi kizuri zaidi cha muziki wa kitanzania wa zamani miaka ya 80-90 vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba navyo. Radio free Afrika, naanza saa 05:00 mpaka 06:00 BBC, saa 06:30 magazeti, alhamis, saa 22:00 usiku melenia kuna mziki wa zamani hapa tena hiki yule mkurya Wambura Mtani, ameacha kuendeshi hiki kipindi alikkuwa anaweka miziki mizuri sio kuchanganya na zilipendwa kama anavyofanya huyu wa sasa. Vipindi vingine nasikilliza ila sina ratiba navyo. TBC Taifa jioni njema vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba. Kuna TBC nyingine wanakipindi cha kavasha ni kizuri ila ratiba yake bado siijui. Radio zingine nasikiliza ila sina ratiba ya vipindi vyao.
 
Bado sijaona redio inayoweza kufanya siku yangu poa kama kijana Zaidi ya CloudsFm hakika wamejipanga vizuri kutuondoa stress vijana tz
 
Nanamshukuru Mungu koto nipa ushabiki wa wakumshabikia mtangazaji au Radio, Zaidi ya timu za mpira wa miguu. Nasikiliza E. FM, kipindi Sport HQ jioni saa 18:30 Kuna kipindi jina nimesahau ila watu wasimulia mikasa waliyokutana nayo. Saa 17:00 kipindi cha michezo, J.pili, baada ya michezo kipindi muziki wa zamani, vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba navyo. Radio Uhuru kila jumamosi saa 21:30 kuna kipindi kizuri zaidi cha muziki wa kitanzania wa zamani miaka ya 80-90 vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba navyo. Radio free Afrika, naanza saa 05:00 mpaka 06:00 BBC, saa 06:30 magazeti, alhamis, saa 22:00 usiku melenia kuna mziki wa zamani hapa tena hiki yule mkurya Wambura Mtani, ameacha kuendeshi hiki kipindi alikkuwa anaweka miziki mizuri sio kuchanganya na zilipendwa kama anavyofanya huyu wa sasa. Vipindi vingine nasikilliza ila sina ratiba navyo. TBC Taifa jioni njema vipindi vingine naweza sikiliza ila sina ratiba. Kuna TBC nyingine wanakipindi cha kavasha ni kizuri ila ratiba yake bado siijui. Radio zingine nasikiliza ila sina ratiba ya vipindi vyao.

Samahani mkuu una umri gani?
 
Kukataa kuwa Dina Marios siyo mtangazaji mzuri ni kuukwepa ukweli wazi wazi, ila kukubali kuwa pengo lake haliwezi kuzibika Clouds ni kuukubali ujinga ulowee ndani ya kichwa chako. Clouds ni makocha, wanawatengeneza watu katika kile kiwango wanachotaka wao na wanabadili mtindo wa ushambuliaji kila kukicha.
Hata Rais wako anasikiliza Clouds na anaitazama Clouds sasa zaidi ya hapo unataka nini kingine kuhusu clouds fm?
Au kuna siku Mheshimiwa Rais alipiga simu kwenye station za kiboya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom