MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
kama binti yangu japo bado mdogo ila nimeshaanza kuimarisha ulinzi nyumbani.View attachment 564567
hahahahaaaaaaa! watambandua huko shuleniiiii
kama binti yangu japo bado mdogo ila nimeshaanza kuimarisha ulinzi nyumbani.View attachment 564567
Kabisa ni watu wa ajabu ,mi namkumbuka boyfriend wangu mmoja yaani yeye alikuwa anataka nismile tu kila SAA aone tu huo mwanya ye anaridhika , tunatofautiana sana naoHakika wanaume watu wa ajabu sana. Huwa mnanishangaza baadhi ya vitu mnavyovutiwa navyo kwa kweli siwaelewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaMwamba acha kabisa, hivi ni kweli vinavutia wanaume au ni sisi tu tumeamua kuvipa utofauti hivyo vitu viwili? Sie wanaume nako wakati mwingine ni kama akili zinaenda likizo kwanza
Kwani kuna aina gani za mianya mkuu? Wa kwangu uko mbele upande wa juumwanya wako umekaa kipande ipi mkuu
Zimbabwemshana umepata wap picha ya dada yangu
Nakwenda_Zimbabwe
sijui yuko wapi huyu jamaa..au ndo yule alogongwa na lori akiwa kwenye bodaboda anatoka kumvisha mtu pete!!?Leo nimekua wakwanza kwenye huu uzi.. joseverest .. utaniwia radhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kho khoMwamba acha kabisa, hivi ni kweli vinavutia wanaume au ni sisi tu tumeamua kuvipa utofauti hivyo vitu viwili? Sie wanaume nako wakati mwingine ni kama akili zinaenda likizo kwanza
kwenye no longer at ease,mwandishi anadai mwanamke mwenya mwanya ana jotoKabisa ni watu wa ajabu ,mi namkumbuka boyfriend wangu mmoja yaani yeye alikuwa anataka nismile tu kila SAA aone tu huo mwanya ye anaridhika , tunatofautiana sana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
dimple ni mushkeli wa kiprotiniWale wenye dimple kwny kalio je?
Leo nimekua wakwanza kwenye huu uzi.. joseverest .. utaniwia radhi
Sent using Jamii Forums mobile app
wambandue tu ila wasimpe mimbahahahahaaaaaaa! watambandua huko shuleniiiii
Kwani kuna aina gani za mianya mkuu? Wa kwangu uko mbele upande wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app