Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
Acha mkuu, hiyo triangle hapo kwa wanawake wengine inakuwaga ni matata sana
Utuzoee tu KhantweHakika wanaume watu wa ajabu sana. Huwa mnanishangaza baadhi ya vitu mnavyovutiwa navyo kwa kweli siwaelewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe msamaha Mkuu umetukosea.
Hiyo ni fekeloKuna doctor mmoja wa meno alikua kwenye kipindi flan cha afya kwenye TV, nilimsikia akisema unaweza kutengenezewa mwanya, au ukauziba kama huupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli
Hapo sawa jamaajamaa mbona umeguna sio wote jamaa
Hapo sawa jamaa
Ebu ninong'oneze basi..Kipi hicho?Ahahha ya kimoja tu Kaboom
Haya mkuu karibu. Utaanza lipi unanivisha pete au unapeleka mahari kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhh nakuja kukunong'oneza hapo ulipoEbu ninong'oneze basi..Kipi hicho?
Haya mama..Ahahhh nakuja kukunong'oneza hapo ulipo
Mkuu sio kweli mbona mi Nina mwanya na nimetuliawadada wenye mwanya na dimples huwa ni matata mno hawajatulia hao
mshana umepata wap picha ya dada yangu