Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,067
- 124,585
Vinaeleweka. Unataka nikwambie kwako nilivutiwa na nini?We unavyovutiwa navyo kwa mwanaume vinaeleweka??
Kwa kweli hapanaUsiogope mtoto mzuri izo ni hatua za kawaida kabisa ktk usahiri, vipi tuendelee[emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]anajarib kutengeneza mwanya na dimples kwa nguvu sasa mwanya wake umetokea pembeni
Waelewe tu ni asili yaoHakika wanaume watu wa ajabu sana. Huwa mnanishangaza baadhi ya vitu mnavyovutiwa navyo kwa kweli siwaelewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Njema kabsa kwako je?ha ha ha mkuu za j pli kwanza?
Man made mwanya.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni ulemavu tena ni wakuziba......
Ebu niambie mtoto mzuri
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Naomba kuwasilisha kwenu wadau
kwa kukusaidia tu na kwa faida ya wengineo humu ni kwamba hizo dimples au mtu mwenye dimples awe ni Mwanaume au Mwanamke basi jua ana vitu au characters hizi kubwa zifuatazo na ambazo Mwenyezi Mungu huwa hazitoi tu hovyo hovyo hata kwa " mangumbaru " wengine:
1. mwenye dimples huwa na BAHATI sana maishani.
2. mwenye dimples huwa na MVUTO mkubwa.
3. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA sana na mno ( Charismatic ). Na pia wanaonekana innocent and humble saana. Sura za upole na nzuri pia kutazama.
4. mwenye dimples huwa na UTAMU usio na kifani katika TENDO zima la ndoa.
5. mwenye dimples huwa na USHAWISHI mkubwa mno popote alipo.
6. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA kupita kiasi na Mwenyezi Mungu.
7. mwenye dimples huwa ni mtu MKARIMU, MCHESHI na asiye na MAKUU.
ukizikataa hizo basi ujue unataka tu kuleta " ligi " isiyo na mdhamini ila ukweli ndiyo huo. asante sana Mwenyezi Mungu kwa UUMBAJI wako huu.
Asante mungu kwa kunipa dimpozi mashavu yote mawili.
Smiiiiile!
Cc mshana jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupiamo basi[emoji85] [emoji85] [emoji85] tupichaWaoooh team mwanya safi sanaaaa najivunia kuwa na mwanya