Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Hahahahaaaaaa usijali nitatupiamo
Hahahahaaaaaa usijali nitatupiamo
Hongera zako mwayaYani nimecheka kicheko kirefu halafu ukizingatia nina na mwanya na dimples yani burudani kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MWIGIZAJI Filbert Rwambano ‘Majanga’ amefunguka kuwa, licha ya utu uzima na mapengo aliyonayo mdomoni, watoto wa kike wengi wanajigonga kwake wakitaka kujenga nae uhusiano wa kimapenzi.
nyie wadada asee
View attachment 565753
ahahahhahahahahahahhaahah wadada wa Darisalama nuksi[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]