Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,337
- 2,289
- Thread starter
- #61
Bila shaka inaendana na uTest
Bila shaka inaendana na uTest
Kampuni maarufu kwa kujaribu miradi mbalimbali online na kawaida, wanachukua tenda toka sehemu mbalimbali kwa ajili ya majaribioMkuu unaweza elezea hii utest kidogo , unapigaje hela huko?
Hawa Utest nimefanya project nao 3 mpaka sasa nikiwadanganya location Belgium japo ila sikupa ela nyingi kihvyo mpaka now na build reputation kwao nime earn $234Kampuni maarufu kwa kujaribu miradi mbalimbali online na kawaida, wanachukua tenda toka sehemu mbalimbali kwa ajili ya majaribio
. kujisajili ni bure lakini vigezo vyao vigumu sana na masharti pia. Location inaweza kua kikwazo kama hujui kucheza na VPN na fake GPS...test 1 inahusha vitu vingi sana inaweza kua picha,ku install app na kureport bugs n.k wanatoa pesa nyingi kama utapata(lakini kupata shughuli) malipo ni Visa, mastercard paypal n.k
pesa wanatoa sema kuipata pia kaz mzee... hongera mm simu tu ndio kikwazoHawa Utest nimefanya project nao 3 mpaka sasa nikiwadanganya location Belgium japo ila sikupa ela nyingi kihvyo mpaka now na build reputation kwao nime earn $234
ila mimi nilifanya mbili hazikuwa zahitaji simu moja ilihitaji uwe na pc touch yenye kuanzia windows 7 au macosx au chromeboo na nyingine ilikuwa inahusu shopping sema uwe germany so mm nimeset account yangu kuwa niko belgiumpesa wanatoa sema kuipata pia kaz mzee... hongera mm simu tu ndio kikwazo
ila mimi nilifanya mbili hazikuwa zahitaji simu moja ilihitaji uwe na pc touch yenye kuanzia windows 7 au macosx au chromeboo na nyingine ilikuwa inahusu shopping sema uwe germany so mm nimeset account yangu kuwa niko belgium
Mimi ninatumia VPN na IP Look UpHilo halina tatizo mkuu,hata kama umeset TZ unafake tu... ilimradi utimize vigezo vya kaz yenyewe na uoneshe kua upo sehemu waliyosema
Mkuu mie kwny chiper cash huwa nikiweka namba ya simu awaniletei code...Mimi naanza hivi
Add cashMkuu mie kwny chiper cash huwa nikiweka namba ya simu awaniletei code...
Sent using Jamii Forums mobile app
UMAFANYEJE HII MKUUPayment received kitoka Streetbees View attachment 982503
Mkuu naomba unisaidie kwenye Premise nifanyeje nipate maswali mengi? ShukranSwali 1 =20×100= ukiwa umelala tu yan!!!! Unakosaje iyoView attachment 984665View attachment 984666
Hiyo inafanyaje kazi? Napokea pesa kwa njia gani? Na kaz zake zikoje?Dili mpya hii hapa
Linkvertise - Earn Money with Links | Monetization done right
Sent using Jamii Forums mobile app
Premise tafuta kaz kila muda,zipo nyingi sana saiv na bei imepanda 490 au 450Mkuu naomba unisaidie kwenye Premise nifanyeje nipate maswali mengi? Shukran
Leo zipo za 20/-Premise tafuta kaz kila muda,zipo nyingi sana saiv na bei imepanda 490 au 450