Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Bila shaka inaendana na uTest
1547184669145.png
1547184669145.png
 
Mkuu unaweza elezea hii utest kidogo , unapigaje hela huko?
Kampuni maarufu kwa kujaribu miradi mbalimbali online na kawaida, wanachukua tenda toka sehemu mbalimbali kwa ajili ya majaribio

. kujisajili ni bure lakini vigezo vyao vigumu sana na masharti pia. Location inaweza kua kikwazo kama hujui kucheza na VPN na fake GPS...test 1 inahusha vitu vingi sana inaweza kua picha,ku install app na kureport bugs n.k wanatoa pesa nyingi kama utapata(lakini kupata shughuli) malipo ni Visa, mastercard paypal n.k
 
Hawa Utest nimefanya project nao 3 mpaka sasa nikiwadanganya location Belgium japo ila sikupa ela nyingi kihvyo mpaka now na build reputation kwao nime earn $234
 
pesa wanatoa sema kuipata pia kaz mzee... hongera mm simu tu ndio kikwazo
 
ila mimi nilifanya mbili hazikuwa zahitaji simu moja ilihitaji uwe na pc touch yenye kuanzia windows 7 au macosx au chromeboo na nyingine ilikuwa inahusu shopping sema uwe germany so mm nimeset account yangu kuwa niko belgium
 
Hilo halina tatizo mkuu,hata kama umeset TZ unafake tu... ilimradi utimize vigezo vya kaz yenyewe na uoneshe kua upo sehemu waliyosema
ila mimi nilifanya mbili hazikuwa zahitaji simu moja ilihitaji uwe na pc touch yenye kuanzia windows 7 au macosx au chromeboo na nyingine ilikuwa inahusu shopping sema uwe germany so mm nimeset account yangu kuwa niko belgium
 
*DISCOUNT KAMA LOOTE YANI*

Domain name za .com zipo kwa Tsh 15000/- tu mwaka mzimaa

Njoo na email yako ili upate credentials zotee za domain

*_Ni Limited offer hii.. Wahi sasaa inbox yanguu_*

SMS/call 0689213034
 
Premise Leo kulikua na zaidi ya 3500 hongereni kwa mliozipiga hizi pesa...
 
Back
Top Bottom