Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Hizi zina pesa ndefu ndio maana wanataka na picha
poa mzee naona wananiuliza maswali..mara take photooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2019-01-02-23-20-25.jpeg
 
Taratibu za kujiunga zipoje mzee na sisi tuje huko
Picha ya kwanza ni malipo niliyopokoa kupitia payoneer kutoka makampuni mabalimbali kama appen, kentar, meelan picha ya pili ni malipo niliyopokea kutokana na kazi za freelancing freelancers.com, malipo ya tatu ni malipo niliyopokea kupitia paypal kutokana na kuongelea masuala ya artificial intelligence huko perks.com. Zote ni kazi amabzo zinajirudia yani nazifanya kila mwezi
 
Mkuu heshima yako kwa uzi huu...saivi hata hela ya umeme premise watanilipia
 
Back
Top Bottom