Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Anayetaka kazi aingia testerwork.com
Wanalipa vizuri, mpaka $45 kwa project. Lakini hiyo project 1 inabidi utulie kweli. Hela yao haiendi kizembe.
Changamoto wanalipa kwa Paypal....so jiandae na safaricom laini.
 
Anayetaka kazi aingia testerwork.com
Wanalipa vizuri, mpaka $45 kwa project. Lakini hiyo project 1 inabidi utulie kweli. Hela yao haiendi kizembe.
Changamoto wanalipa kwa Paypal....so jiandae na safaricom laini.
Duh!!kama uTest vile
 
Kampuni maarufu kwa kujaribu miradi mbalimbali online na kawaida, wanachukua tenda toka sehemu mbalimbali kwa ajili ya majaribio


. kujisajili ni bure lakini vigezo vyao vigumu sana na masharti pia. Location inaweza kua kikwazo kama hujui kucheza na VPN na fake GPS...test 1 inahusha vitu vingi sana inaweza kua picha,ku install app na kureport bugs n.k wanatoa pesa nyingi kama utapata(lakini kupata shughuli) malipo ni Visa, mastercard paypal n.k
Mungeweka muongozo zaidi kwa hiyo utest tangu mwanzo mtu anavojiunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
~ @mzaramotz,sio kutoa kwa wakala nikuihamishia kwenye m-pesa yangu kwa wakala utatoaje kiasi hicho mkuu mbona unanielewa kiutopolo MZEE....mimi baada kufikisha hicho kiasi nikataka kutesti kuzihamishia mpesa yangu....ndio nikaambiwa mpaka ifike 11440...ndio nikauliza niliona humu MTU katoa kama 400 hivi ndio nikauliza mheshimiwa!!!
 
up.jpg

Pesa iko hapa hiyo kazi ya week iliyoisha jumapili hii na Week inayoanza nina kazi ya $450 yani milion moja...
Mtandaoni kuna ela sana ni kujua tu unazipataje na kujituma
 
Anayetaka kazi aingia testerwork.com
Wanalipa vizuri, mpaka $45 kwa project. Lakini hiyo project 1 inabidi utulie kweli. Hela yao haiendi kizembe.
Changamoto wanalipa kwa Paypal....so jiandae na safaricom laini.
Nimefeli test yao mara mbili mkuu
 
Rumi96 Deo Corleone nawaomba niwajibu hapa hapa ili kila mwenye swali aulize hapa hapa ili wafaidike na wengine.
Ninaanza na wewe Rumi96, Upwork siku hizi siyo kama zamani, wana chambua sana freelancers ili kuzuia freelancers wenye skills zinazofanana kugombea kazi. Hata ikitokea nikafunga profile yangu kwa bahati mbaya kuja kudi ni kimbembe. Kama unaweza piga test zao upload baadhi ya kazi ulizowahi kufanya weka skills nyingi nyingi mimi ilitokea nikafunga profile yangu ya zamani kuja kurudi ilinichukua submission zaidi ya 30 na submit wanakataa narekebisha naongeza skill nasubmit upya hadi nikaweka skills ambazo mimi sina nyingine ili nionekane konki.
Juzi nilipigiwa video call na custtomer care wao ananiambia nitaje skills nilizo nazo hadi nyingine nilisha zisahau ila hakumaindi tukaishia zungumzia mambo ya corona tu. Ila sehemu rahisi ya kujiunga na kupiga pesa ni freelancer.com, Huko mimi ndiko natengeneza pesa nyingi kuliko hata upwork yani huko naweza tengeneza muda mwingine mpaka dollar 1500 kwa mwezi ila kuna matapeli wengi maana kila mtu anaweza post chochote so ni akili yako kung'amua ni nani fake nani genuine.
Pia Upwork kuondoa watu ambao hawako serious ukitaka kubid kazi unahitaji viitu vinaitwa connects ambavyo unavinunua..

Deo Corleone , suala la kupata kazi ni kuchagua the exact client. Watu wengi wanabid kazi za kisa tu zinapesa ndefu wakati hawana skills na hawajatengeneza reputation. Tafuta zile kazi unazoona zinaendana nazo na wanaobid watakuwa na skills kama wako then weka reasonable amount utapata tu. Ukifanya hivyo utapata kazi mpaka uanze zikataa nyingine, mfano mimi kuna kazi nimebid niliyoandika hapo kuwa wiki hii nina kazi ya dolar 450 inabd niimallize Ijumaa, leo nime terminate contract kwasababu nimegundua itanitesa ila nimeiterminate kirohos safi na nilikuwa nimeshaanza kuifanya so hata kile nilichofanya siku demand nilipwe ili client asije nipa bad review.
 
Back
Top Bottom