Dili la mamilioni kwenye Nishati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dili la mamilioni kwenye Nishati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sijuikitu, Jul 11, 2011.

 1. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani anataka tupige dili la mamilioni kwenye Umeme?

  Yaani tunaenda serikalini, tunaandikishana mkataba wa kuzalisha umeme.....tunamwalika Clinton au Tony Blair.....au kama vipi tumualike Kim Jong Il.

  Halafu muda wa kuzalisha umeme ukifika, tusingizie hakuna gesi ya kutosha kusukuma mitambo....ila cha kwetu tushakula.

  Nahitaji partners!
   
Loading...