sijuikitu
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 286
- 12
Nani anataka tupige dili la mamilioni kwenye Umeme?
Yaani tunaenda serikalini, tunaandikishana mkataba wa kuzalisha umeme.....tunamwalika Clinton au Tony Blair.....au kama vipi tumualike Kim Jong Il.
Halafu muda wa kuzalisha umeme ukifika, tusingizie hakuna gesi ya kutosha kusukuma mitambo....ila cha kwetu tushakula.
Nahitaji partners!