Dilemma!!!

Hata kama zipo, zikiisha mechi haiahirishwi:A S-confused1:

Nimeshindwa kukuelewa

Nashindwa kukuelewa kwasababu nakosa kabisa mntiki nikiunganisha nilichosema na ulichosema
Please madam,help me understand you!
 
Nachosema ni hivi, tatizo la nguvu za kike ni managable kiurahisi kuliko la nguvu za kiume

Ndio maana, ni mara chache kusikia mwanamke kashindwa kabisa kufankisheni sababu hajasimamisha pembe.

Nimeshindwa kukuelewa

Nashindwa kukuelewa kwasababu nakosa kabisa mntiki nikiunganisha nilichosema na ulichosema
Please madam,help me understand you!
 
daah...............nimemaliza tu kusoma story mdudu akasimama..........yaani kwenye miti hapanaga wajenzi always ,mimi natafuta wa kuoa kumbe wapo humuhumu? LOL cc Kaizer
 
Hizo ni assumptions zangu tu kwasababu hakuna kisichowezekana!!Ndio maana nikataja vitu tofauti!!Wengine si wa mwendo mrefu na nje wanatafuta coz wanatamani vingine kuliko walivyonavyo...Ni tamaa!!!
Nakuelewa sana dada yangu kwenye hakuna kisichowezekana na tamaa...Lakini mechi za nyumbani ni zaidi ya tamaa ni zaidi ya mechi.
Heshima yako ndio iko pale. Kiukweli watu wengi wanaotoka nje ni kwa sababu ya overconfidence! Yani alishajengewa confidence nyumbani kuwa anaweza sana ndo anashawishika akaipate hiyo "Unaweza sana" kwingine ndo ataamini for sure kuwa anaweza.
Pia ili mwanaume akufuate haangalii kuwa kakutamani tu pia anaangalia ntaweka heshima? nisiende nikaaibika bure manake wengine mziki mrefu!
Sasa huyu mwenzetu ndani majanga huko nje ndo itakuwaje?
Ama mwenzetu ni mtaalamu wa kushinda mechi za ugenini?
 
Sawa mkuu, tunasubiri feedback :smile-big:
 
Kuna tatizo sana, ila thank God hamnaga kuishiwa nguvu za kike, akikuchosha unaitenga kama tenga tu.


Mbona unanitaisha kiasi hicho Kongosho?

Basi ngoja nikueleze, dili ya kupungua kwa nguvu za kike ni muzee kukosa hamu au kuzimika zimika njiani.

Huyajui hayo?

Babu DC!
 
kama ishu nyingine yuko powa.. na umeridhika nae.

Vunja ukimya huenda ana tatizo la kiafya au msongo wa mawazo. Huenda hajui kama una ukame kiasi hicho, na huenda hana tatizo serious.. kupitia mazungumzo mnaweza kupata solution.

but bado napata dillema na mie.. Mwanaume unashindwa kupiga game mpaka mpenzi alalamike?? hizi kesi za namna hii ni adimu sana huwa hazipo lolz.
 
Yaani Babu majanga matupu, sijui nitaleaje wajukuu zako wasije kukosa heshima huko mbeleni.

Hii ni hatari kwa kizazi kijacho kabisa, injini zina mgawo hatare sana wa mtera.

Mbona una itaisha kiasi hicho Kongosho?

Basi ngoja nikueleze, dili ya kupungua kwa nguvu za kike ni muzee kukosa hamu au kuzimika zimika njiani.

Huyajui hayo?

Babu DC!
 
Nachosema ni hivi, tatizo la nguvu za kike ni managable kiurahisi kuliko la nguvu za kiume

Ndio maana, ni mara chache kusikia mwanamke kashindwa kabisa kufankisheni sababu hajasimamisha pembe.

Sina uhakika kama unajua nguvu a kike zinavyohusika kwenye sual zima la ngono a.k.a kungonoka!
 

Tupia na ka-picha basi ili tumdhaminishe huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…