Dilemma: Simu ipi itanifaa zaidi kati ya huawei p9 vs Nokia 6?

Ya Huawei inaitwa SAFE




pengine hujaelewa, au pengine jina la secure folder limekuchanganya.

myknox au secure folder sio folder
ambalo limelokiwa na password bali ni space yako private kwa kiswahili rahisi ni simu ndani ya simu.

mfano unaweza ukawa na whatsapp mbili moja ikakaa ndani ya myknox na nyengine ikawa ya kawaida, almsot app zote unaweza ukawa nazo mara mbili.

huawei safe ni folder lock la kawaida au kama app za vault ambazo zinaficha vitu vya media visionekane, unaweza eka app separate kwenye safe?
 
Tumepishana hapo nimechanganya hiyo safe ya Huawei na private mode ya Samsung ambazo zinafanya kazi karibu sawa. My Knox sijawahi kuitumia, nili root simu nikapoteza na access yake.
 
Tumepishana hapo nimechanganya hiyo safe ya Huawei na private mode ya Samsung ambazo zinafanya kazi karibu sawa. My Knox sijawahi kuitumia, nili root simu nikapoteza na access yake.
search playstore secure folder ipo, usipoiona sideload apk yake. nimeskia inakubali hata na root, sijaitest bado
 
kama nilivyosema hapo juu hilo ni folder tu ndani ya file manager, playstore kuna maelfu ya file managers yanafanya hiyo kazi.

secure folder au myknox ni simu kamili ina kila kitu chake inajitegemea, simu ndani ya simu.
Okay, nimekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…