"Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

Tunakubali nyerere alikuwa iongozi shupavu na ameitoa nchi mbali na mpaka hapa tulipo bado twaendelea kumshukuru, ila kuna mambo mengi sana katurostisha, ametuchelewesha sana kutufungua macho kujua yanayojiri duniani,ona wenzetu Kenya na Uganda,,,kwa hili tu, ndio naona kuna mahala alikosea
 
Mkjj at it again, going for the jugular to exterminate, obliterate, whilst issuing a C & D (cease and desist) note along the way!!! Luv it :)

Kama ni karata, basi ni turufu tu zimebakia sasa hivi!!!
.......... daaaah ! dictionary iko mbali !
 
wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

Tukirudi kwa waliohai, Mambo mengi yanazungumzwa juu ya Mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa Mwinyi, kwa nini? Wakati wa Mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina Chavda, Loliondo nk. Mbona Mkapa alianzisha tume ya Warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya Mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama Sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..

Mkuu jaribu kusoma btn the lines kabla hujamtuhumu mzee mwanakijiji. Hajasema Nyerere ni dikteta. I hope nimemwelewa vema ujumbe wake,
 
Kwa matazamo wangu heri ya Julius (SO CALLED DICTATOR by Mwanakijiji) kuliko WANA DEMOKRASIA WANAOTUTAWALA kwa sasa....RIP MWALIMU JULIUS K. NYERERE
 
basi subirini kwa mungu ndiyo muone maovu yake ,kwani hujui aliyoyafanya nyerere je wamjua sokoine,karume una jua ishu zao na huyo munaomuita baba wa taifa,
Conquest-tatizo really history imefichwa na tumerithi ujinga ndiyo mpaka leo just maneno vitendo hakuna.
Big up mwanakijiji let them be blind forever.
 
Mwanakijiji sasa unakoelekea siko,
Naona umelewa sifa sasa unaanza kualibikiwa.
Acha kujenga hoja za kuwadanganya vijana walio humu JF maana most of them are young and too naive!
Nakushauri badili mwelekeo wa hoja zako zinaelekea kuwa chuki sasa.

wewe umekosa adabu tu pia siyo utu wema kumjadili marehemu kwa sababu hawezi kujibu tuhuma dhidi yake na walio hai hawana mamlaka ya kumjibia unless wawe na"lasting power of attorney" yaani ruhusa ya kisheria iliyo tolewa na marehemu kabla hajafa inayowapa mamlaka ya kumsemea.

Hisia zangu ni kwamba wewe unasumbulia na udini, mipango ya watu wenye mawazo potofu kama wewe ni kuwachafua na kuwadhalalisha wenye imani tofauti na nyie ( wafu na waliohai) ili dini yenu ionekane bora na superior. Mpango wenu wa muda mrefu ni dini yenu kushika hatamu za siasa, serkali, uchumu, imani na hali ya maisha ya kila siku ya watanzania wote kama wanavyofanya huko misri, sudan, somalia nk

Nyerere siyo kiongozi pekee wa ngazi za juu wa JMT ambaye ni marehemu, wapo akina Karume, Kawawa, Sokoinne nk. Iweje yeye tu ndo marehemu mbaya na dikteta. Vipi marehemu Karume yeye hakuwa dikteta?

Tukirudi kwa waliohai, Mambo mengi yanazungumzwa juu ya Mkapa na ufisadi lakini hakuna anayetaja ufisadi wa Mwinyi, kwa nini? Wakati wa Mwinyi kulikuwa na ufisadi wa nguvu pia kama wa akina Chavda, Loliondo nk. Mbona Mkapa alianzisha tume ya Warioba ambayo ilibaini ufisadi uliokuwa umekithiri kwenye serkali ya Mwinyi, baadhi ya watuhumiwa pia walifikishwa mahakamani, lakini hakuna mtu anaongelea ufisadi wa wakati huo??? Mama Sitti hakutuhumiwa kwenye kashifa za kifisadi? Mch. Mtikila alipata misukosuko mingi kwa kutaja hadharani mafisadi, siku hizo akitumia msamiati wa magabachori

MMKJJ huwezi kuyasema hayo kwa sababu yalitendwa na waungwana siyo? Wabaya ni JKN, BWM, EL, Sumaye, AC na RA aliyetolewa kafara ili kufunika kombe wanaharamu apite. Mnaipeleka nchi pabaya hasa kwa wale wenye imani tofauti na ninyi..
 
Tunakubali nyerere alikuwa iongozi shupavu na ameitoa nchi mbali na mpaka hapa tulipo bado twaendelea kumshukuru, ila kuna mambo mengi sana katurostisha, ametuchelewesha sana kutufungua macho kujua yanayojiri duniani,ona wenzetu Kenya na Uganda,,,kwa hili tu, ndio naona kuna mahala alikosea

Mama fatilia historia, huwezi kuiringanisha Kenya iliyokuwa inatawaliwa na Mwingereza na Tanzania iliyokuwa inaangaliwa na mwingereza
 
Jamani mwalimu alikuwa moto wa kuotea mbali sasa hawa vikaragosi ambao wanambeza sijui kama wanauelewa au ni lile kundi la waliosomea shule za kata. Hata ukiangalia marais na wakuu wa nchi zingine ambao alikuwa nao karibu utaona walikuwa katika level nyingine kabisa katika mitazamo yao mfano Olof Palme, Indira Gandhi, Samora Machel waliokuwepo Dar watakumbuka hotuba ya Machel pale uwanja wa Taifa, Mahadhir Mohamed ingawa huyu ni wa baadaye kidogo bila kumsahau Mzee KK ambaye alikuwa bega kwa bega na kumpiga mkwala mzito iron lady wakati wa kikao cha Commonwealth countries.

Historia itawahukumu hawa wezi ambao wanafikiri muda wao wa kutafuna pesa za walipa kodi ni huu, hata Bokasa, Mobutu hawakutegemea kama wangeondoka madarakani au Mubarak sembuse hawa wa kwetu.
 
watanzania wanaitafuta vita ya udini shetani huyu amewashika watu wengi sana na hadi tukishtuka basi vita imeshaanza mfano halisi ni chuo cha udom watu wakishasikia uchaguzi wanaingiza udini lakini kwa nn jamani?me binafsi nawaomba muwe makini sana na hili mana tunakoenda si kuzuri sana.wakati mwingine kuna watu wana jitia wanaijua dini na wanachukua fursa hiyo kuwapandikizia wanaimani wenzao mbegu ya chuki kwa wengine.jamani mungu hapendi utengano tuwe kitu kimoja wote waislam na waikristu.
 
Is it the genuine attitude, to honor a person who was the cause of millions to suffer and thousands if not hundreds of thousands to die? Are we for real?

How many of the young and old souls he sent to die for the failed cause?
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere:- kwa nini watu hawalali wanaposikia jina hili?

Mwanakijiji, nini kinachoendelea? Au ndo yale ya baadhi kuripotiwa kumrejea kwa title ya "Mzee Nyerere"? Manake tunasikia hawataki kabisa hata kumwita "Baba wa Taifa".
 
basi subirini kwa mungu ndiyo muone maovu yake ,kwani hujui aliyoyafanya nyerere je wamjua sokoine,karume una jua ishu zao na huyo munaomuita baba wa taifa,Conquest-tatizo really history imefichwa na tumerithi ujinga ndiyo mpaka leo just maneno vitendo hakuna.Big up mwanakijiji let them be blind forever.
Nawewe umeingia choo cha kike. Hujamwelewa kabisa MMK. Hasemi mwalimu ni dikteta, mwovu au mtakatifu.
 
Lugha inayotumiwa na MKJJ ni ngumu kama ukiichukulia katika urahisi wake ilivyoandikwa, wachangiaji wachache wanalichulia jina 'dikteta' bila kuelewa dhamira kuu ya mwandishi kulitumia jina hilo kwa Mwalimu, nadhani inabidi kuwa timamu unaposoma mwanzo wa post ya MKJJ na sio kuichomekea treni na kibajaji
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere:- kwa nini watu hawalali wanaposikia jina hili?

Mwanakijiji, nini kinachoendelea? Au ndo yale ya baadhi kuripotiwa kumrejea kwa title ya "Mzee Nyerere"? Manake tunasikia hawataki kabisa hata kumwita "Baba wa Taifa".

sio kila mtu "brain washed " kama wewe. Tafauti ya Dikteta Nyerere na MADIKTETA wengine kuwa aliweza kutabasamu mbele ya watu wake...
 
Mkuu, you have missed MMM point, subiri utaona, mwanakijiji is just satirically lighting up the house and pre-empty a few bagels who usually come here for preambles and pH testing
...Hiyo ndo definition ya kutafakari!
 
Back
Top Bottom