Ungesema ....subiri mkutano wa SADC uisheView attachment 1182372
Naam, huyo wa mbele katikati ndiye Adolf Hitler, angalia alivyotulia kwa unyenyekevu lakini subiri atoke humo!
View attachment 1182372
Naam, huyo wa mbele katikati ndiye Adolf Hitler, angalia alivyotulia kwa unyenyekevu lakini subiri atoke humo!
Unatenda maovu ya kutisha kisha unataka uombewe! 😳 Anamdhihaki Mungu.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. |
RAIS MAGUFULI AKIPEWA BARAKA NA ASKOFU MKUU KARDINALI PENGO
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
View attachment 1182522
http://lukwangule.blogspot.com/2017/04/clouds-360-yarusha-mubashara-kutoka.html
Inshallah! Tumuombee na Ben Saanane , Mawazo, Azory Gwanda na wengineo wa aina hiyo. Pia tusiwasahau wanaotekwa na kupotezwa! BAKJambo la kheri kumuombea Rais wa nchi
Mungu aendelee kumtia nguvu na busara
Inshallah! Tumuombee na Ben Saanane , Mawazo, Azory Gwanda na wengineo wa aina hiyo. Pia tusiwasahau wanaotekwa na kupotezwa! BAK
NAMI SIKUTEGEMEA TUTAFIKA, TUNAWEZA KUWA NA DIKITEITA KAMA IDD AMIN. THOSE DAYS TULIKUWA TUNAONA MIILI YA WATU INAELEA MTO kAGERA, HATUKUFIKIRI KUWA KUNA SIKU YATAFIKA HUKU!Amen Mkuu Retired, sikutegemea hata siku moja kuyasikia au kuyaona maovu haya ya kutisha nchini mwetu lakini hawa wahuni na dhalimu wametufikisha huku halafu wanataka tukae kimya kuhusu udhalimu wao tukisema wanalalama eti tunaichafua nchi.