Digtek jamani!!!!!

Digtek jamani!!!!!

Anthonio

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
202
Reaction score
21
Nipo Dodoma, watu wanakiu sana na ving'amuzi vya digtek. Hawa jamaa wanakuja lini huku.
MWENYE TAARIFA TAFADHALI.
 
ingia kwenye site yao ya digitek uangalie kama utalizika navyo vicheneli vyao..
 
Ndugu yangu, bado unawaza na Ving'amuzi vya Tanzania hii. Au haukumbuki GTV.
 
Nipo Dodoma, watu wanakiu sana na ving'amuzi vya digtek. Hawa jamaa wanakuja lini huku.
MWENYE TAARIFA TAFADHALI.

Chnls 22 bure,kati ya hzo za nyumbani ni 10. Bei ya King'amuzi sh.145,000. Vinaanza kuuzwa march moja.
 
nipe list ya channel zake

List waliyokwishatoa ni ya free channels tu.

Wasiwasi wangu ni kwamba kwa idadi ya channels hizi kuna uwezekano wa mtu akishanunua hatataka kulipia tena maana watu wengi hizi zinawatosha kabisa(ukituondoa sisi soccermania,moviemania na wrestlemania).Mimi naona wakitaka wadumu waweke vifurushi vya kulipia vyenye channels za uhakika kama vile zenye kuonesha soccer live kwa ligue za europe..hapo watatupata wengi.

Anyway,kwa kuanzia sio mbaya sana. Ila kwa jamaa zetu wachina naona hapa ndio basi tena..
 
Haya kumekucha digitek dtv na ubc hazionekani kweli mwaka wa balaa ni balaa. Hakuna maelezo kwenye screen kwanini hazionekani. Na mbaya zaidi wameanza uongo kama startimes kila ukipiga customer care unapewa majibu tofouti tofauti. Tcra vipi mna taarifa?
 
Haya kumekucha digitek dtv na ubc hazionekani kweli mwaka wa balaa ni balaa. Hakuna maelezo kwenye screen kwanini hazionekani. Na mbaya zaidi wameanza uongo kama startimes kila ukipiga customer care unapewa majibu tofouti tofauti. Tcra vipi mna taarifa?

digitek wana chaneli gani??please nitajie
 
...kastar times kabaya,kanastak stak kweli sijui ndo udigitali huu..
 
Mm natumia startimes kwa kweli mwez huu cjalipia nafaid free channels maana kimenikera unalipia 10000 per month channel ya movie n mgm movie za kizee tu labda unafaidi etv so ni bora kiwe cha taarifa ya habari tuu then mikanda kwenye deki.
Nikiwa kwa digitek kama nimeelewa tangazo free foa r year ukikokotoa unapata thaman sawa na startimes sababu 10000 times 12 ni 120000,iliyobak hapo juu sawa na bei ya kukodisha king'amuz cha startimes tsh 39000 kwa tuliowah kununua,after a year unaanza kulipia digitek ambayo cjui itakua bei gani!woote wafanyabiashara tu hawana jipya wala huruma kwa mtz,kama free channels ziko 5 then nikilipia mnaniongezea chnel za katun na matangazo tuu kwenye channel zenu maaana yake nn!weken channel za maaana tulipie hamtak n mwendo wa kuangalia free channels tu
 
Ndugu yangu, bado unawaza na Ving'amuzi vya Tanzania hii. Au haukumbuki GTV.
Tofautisha GTV na Digitek,GTV ilikuwa inamilikiwa na mgeni sio mtanzania uchumi ulivyo yumba Marekani paka England,pia tulilipwa fidia.Digitek mmiliki ni wa hapa nyumbani Tanzania pia sio world wide kama GTV
 
Fungeni dish for free to air channel muache kulalamika kama mimi.
 
Fungeni dish for free to air channel muache kulalamika kama mimi.

Unazungumzia mpango wa MEDIA COM?, hivi hawa jamaa ni analog au digital na bei yao ni kiasi gani in full yan dish+receiver. jus help me
 
watu wa k'koo na magomen wanafaidi sana kuna kebo unaungiwa ina chanel kama mia kwa sh 28,000 tu, yani chanel zote za maana, muvi, mipira yote duniani, na local pia zipo sema sina uhakika kama wamevuka magomeni ila hawa jamaa wazuri sana
 
Back
Top Bottom