Amba Samedi
Senior Member
- Apr 5, 2024
- 193
- 326
Habari wanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri. Niko salama hapa Morogoro.
Nimeumiza sana kichwa kuwaza namna ya kutumia teknolojia kwa ajili ya kuwasaidia wagombea kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Nlikuwa naomba uzoefu kwa anayefahamu. Nini kifanyike? Unatumia mbinu zipi? Ipi ina smaku/kivutio zaidi.
Naomba kujifunza.