Digital camera kwa hii price...

Digital camera kwa hii price...

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
Habari zenu wadau, ni muda mrefu nilikuwa na dream ya kununua digital camera. nimeweza kusave kiasi cha shs laki 2.5 mpaka sasa.. naomba kujuzwa digital camera nzuri za kununua.. zisiwe second hand tafadhali..

camera ambazo nazipienda ni pamoja na zile zenye vioo vipana, optical zoom angalau 14x, 8. mp.

niko dar es salaam kwa sasa!
 
jaribu sony natafuta maduka yao mjin dar
 
Habari zenu wadau, ni muda mrefu nilikuwa na dream ya kununua digital camera. nimeweza kusave kiasi cha shs laki 2.5 mpaka sasa.. naomba kujuzwa digital camera nzuri za kununua.. zisiwe second hand tafadhali..

camera ambazo nazipienda ni pamoja na zile zenye vioo vipana, optical zoom angalau 14x, 8. mp.

niko dar es salaam kwa sasa!
  • Pita kwenye huu uzi waweza kukusaidia kupata chaguo sahihi:
​https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/541098-quality-digital-camera.html
 
Back
Top Bottom