step mom, kama unajua jinsi ya kuruka treni ikingali kwenye mwendo weeh dandiaga tu kwa mbele. usisahau kushikilia high heels mkononi lmao
ahahahahhahhahah atazalishwa saaaaana!Hahahahahahahaha
muonee huruma sasa ana walisha watoto akirudi anasema amemfungia jogoo bandani!
Aisee upweke mbaya sana!
ahahahahhahhahah atazalishwa saaaaana!
watu na vimini vyetu tunapiga kitu cha wine!af pana chezya kabisa nguvu ya wine fasi ya maso
jogoo linawikaje na jua lipo utosini!ahaahhahahhahahhaa hebu nicheke mie mwalimu wa watu!
waaaaaaapi!we nawe, unaulizia suti kwenye ngalawa?
kazi ipo mbona mnamsuta mtu amekimbia!!
leo ana kazi
hadi wewe umekuja??
yaani nimewapendaje sasa, lol!Hahahahahahaha
FP ,yeye anajua kwa nini nime muuliza!
ndo nilikuwa nakuchungulia hapo chini nikawa nasubiria madongo, lol!Siku hizi niliamua kuwa mpitaji yu....ila bishosti kanfanya nigune...
Tushakuwa watu wazima sie kama anasubiri mfupa udongoke atasubiri forever, tushavuka hiyo stage.
arudi kasahau nini?Da Sophy will be back after short break!
step mom, kama unajua jinsi ya kuruka treni ikingali kwenye mwendo weeh dandiaga tu kwa mbele. usisahau kushikilia high heels mkononi lmao
Mh!:nono::nono::nono::nono: