Teacher,mimi mwenyewe ndo nimejua kumbe jamaa kiwembe,hahahaha Da Sophy atakufa kwa pressure.Mwenye mme katulia tuli na wine zake,Amuwache miaka 1000Da Sophy bana sasa unakuja na ID nyingine ili iweje??
so far nani alikuwa na flirt na huyu hawara wako??
huyu ni Da Sophy bana asikuumize kichwa.WEWE nawe ulishawai kuja kulalamika humu kuwa mmeo anaibiwa.leo wamtetea kimada haya ban
a
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
mhJamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
hahaha, soma shosti. mume atahamia kwa kahaba kama Da Sophy na sarakadi zote ila digirii haitokuacha kamwe. mwenzioa nasoma post-doctoral digirii nna mchezo? nna masters ya chumbani, digirii ilikuwa ya jikoni na phd ofisi. nasomea digirii ya kuvhukua waume za watu saa hizi. maliza risechi hapo tuje kutesa na vingereza vyetu, zombi mwenyewe atabloo.
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?
watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
WEWE nawe ulishawai kuja kulalamika humu kuwa mmeo anaibiwa.leo wamtetea kimada haya ban
a
He he he, tena hii ya kuchukua wamme za watu nataka iwe eria of speshilaizasheni
kamusi huyu Da Sophy na huyu Eliza wa Tegeta ni mtu huyo huyo.ana mume basi??????? ndo wale wale kina da sophy
halafu namshangaa eti anaona wivu watu waki m-pm, huyo hawara wake,
wewe mtu sio mali yako, sasa wivu wa nini??
acha na wenzio wazalishwe kama jinsi ambavyo wewe umezalishwa ama afikiri wenzio hawapendi kufaidi utam wa kibamia??
mh
hallluufu, hallluuuuffffu....
hebu kaoge kwanza
Are they?
halafu pia hata wanaume waangalie watu wa kutoka nao jamani.Mwizi anaogopa kuibiwa kuliko mtu yeyote
Huo uzi wa kibamia sikuuona, ila kama ni kweli hii ni 'mental case'
Huwezi mvua nguo hadharani mzazi mwenzio, no matter what