sasa hataki kutumia mashudu ata ishi vipi?
damn it!Huu wimbo banaa haupatikaniiiiii
na akitaka tumuonyeshe niaje niaje pale kati mods wahamishe jukwaa!
mssnshsndehehfefneeejoeend zaaaake!
weweeeeeeeeeeeeeee, hapa tunajua anatusoma tu hata kama akiwa invisible...
yaani mume atuibie na kukesha kwetu akuone hakuna maana?
nakuambia na mipasho yake yote hapa hatarudi, labda kwa ID nyingine
Neylu huu ni mwoto wa kuotea mbali.Hahahaaa..... Yaani maneno yako wewe dada, nacheka mwenyewe kama mwehu..!
ha haaa, wale kimya kimya, lol!mwali wala shaka uspate mie huyu hata aje na ID gani bado nitamgundua tu.
so far huyu lazima nimtoe humu jamvini kama @da jane. na nakumbuka alikuja na ID nyingine nikamlipua na yenyewe ikapewa life ban.
nimesema hivi hapana chezea ndoa ya mwanamke mwingine, ukipewa msaada uwe na heshima sio lifti kisha unataka kupiga na honi. sasa wewe fichama najua unaugulia maumivu ya moyo sasa hivi.
ha haaa, wale kimya kimya, lol!
tatizo hawa hawataki kula kimya kimya..... wanataka na wenyewe wajulikane kama huyu hivi
yaani huyu leo nyama imetumbukiwa na nyongo ana hiari aitupe ama aile.
mie mpaka nimkomeshe leo.
Hivi lady jaydee amepona mashetani yake ya mahaba?
hahahah! Asprin yule mwizi wa waume za watu karudi tena.
amesahau kwamba yeye hataishi milele manake si wa mbegu, na inaelekea hajui kabisa kwamba haat ANNA alikuwa na tambo kama hizi na sasa ngoma imemuadabisha anaish kwa nguvu ya mashudu.