Digidigi wa mapenzi.

Hiyo ni kweli mkuu
 
Dah sura za remi hatupumui jamani, sio masomoni sio Mtaani sio Mitandaoni🤦🏽‍♀️
Nawakubali balaa nyie wengi sura sio roho alafu watamu na wengi wana heshima. Na mizigo mnayo si haba
 
Kwakweli namshukuru mungu sura nilinyimwa ila nina heshima, nikisalimia napiga goti mpaka chini😎
Uje unipigie goti na mimi. Sura hujanyimwa unayo ila sio kama zao. You are unique
 
Hata huyu kwa Jinsi nilivyoona muda si mrefu Grid itamhusu Hana mambo ya Kinga, anataka nyama kwa nyama Tu na ana Wanaume kibao
Huyo tayari anawafanya muwe mnamkuna gono lake. Enzi za chuo kuna pisi moja ilikuwa inaliwa na kila domo zege. Haijui kumkataa mtu masikini kumbe ilikuwa na gono. Kila anaetoka kupiga kavu lazima aje atoe ushuhuda wa kukojoa nyembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…