jmchimbadhahabu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 218
- 106
Tofauti ya Jaji na Hakimu ni ipi?
Tofauti ya Jaji na Hakimu ni ipi?
Asante kwa ufafanuzi.Jaji ni Mtumishi wa Mahakama ambaye anahusika kusikiliza Mashauri/Case na kuzifanyia maamuzi katika ngazi ya Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani...
Hizo fees ni kiasi gani maana kuna malalamiko ya tozo kuwa nyingi sana toka TLSUtakuwa na sifa ya Uwakili ila hautaweza fanya kazi ya Uwakili mpaka ulipe fees stahiki ndio utakuwa tayari kuitwa WAKILI.
Hivyo safari ya Uwakili haaishii kwenye kuapishwa tu, ni mpaka pale utakapo kidhi vigezo vingine kama kulipa Fees stahiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome tu.Natamani na mimi niwe mwanasheria halafu niwe competent kama lissu.
Hautakuwa na sifa ya kuwa mwanasheriaWhat if i studied "post graduate diploma in law, mediation and arbitration" katika chuo cha ustawi wq jamii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili ni philosophical viewMbwembe tu za wabongo hakuna cha usomi wa nini. Asa Madactari maeng etc nao wakiamza kujiita eng msomi itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app