Dear Wana MMU
Please kama umemchoka mpenzi wako kuliko kumnyanyasa na visa ni bora ukamwacha lakini ukumbuke kuwa wakati wewe unamdiss wa kazi gani, wapo wanaommezea mate na kujiuliza watampata lini.
Na ukiamua kumdiss, fanya hivyo ukiwa umeamua kabisa kuwa hapa nimemaliza sitorudia matapishi.
Huu ni ujumbe wangu tu kwenu kwa mwaka huu 2012. Otherwise nawatakia mwaka wenye amani, furaha na mapenzi tele.
Wenu Mjukuu Mtiifu all the way................................