donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Wakati si milele
Ni wasanii bora kabisa wa hip-hopNawaelewa sana hao mkuu
Sure mkuuHahaha hiyo skul nadhani ilipumua baada ya hizo icon kuondoka maana hawa hip hop ilikuwa damuni sio kipaji cha njaa
Mtu anasukumwa na ugum wa maisha kisha anakwambia Nina kipaji toka utotoni
Yep yep yoooN if u dont knw nw u knw nicca...
Ni wasanii bora kabisa wa hip-hop