Did you know that

kuna tembo alivamia kijiji hata alipouliwa alibaki kasimama. si lazima muda wote lakini inatokea. source: mwanakijiji mmoja tukiwa kwenye bus huko moro alikuwa anaeleza (shahidi wa tukio).

Hii inatokea sana porini hasa kwa sie wawindaji.

Unaweza kum shoot munyama kwenye ubongo na akafa pale pale huku kasimama. Hiyo haimaniishi ndo anavyokufa siku zote
 
Kenya ndiyo nchi pekee Afrika Mashariki ambayo vyama vipya vya siasa huanzishwa muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu, na pia vyama husambaratika muda mfupi baada ya uchaguzi.
 
Kuku ni kati wa wanyama wachache ambao huliwa kabala kabla ya kuazaliwa na baaada ya kufa!
 
Male Octopuses die few months after their first mating, while female octopuses die soon after their eggs hatch.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom