Did they exist: Viumbe wenye utata kwenye BIBLIA

Did they exist: Viumbe wenye utata kwenye BIBLIA

Ok kwa upande wangu mie naweza kukubali kiasi ila asilimia kubwa nikakataa kwa sababu zifuatazo:
●Kwanza ikumbukwe MUNGU kitu kikubwa na cha thamani alichomjaalia mwanadamu ni AKILI ...neno AKILI lina maana pana sana na siri kubwa sana kwa wanaojua thamani yake...
MUNGU ameumba vitu kadhaa then akawekea pincode or password au nywira[emoji28]..ambavyo aliamini na kujikweza mwanadamu(kiumbe) kamwe hawezi na hatokuja kuweza kukibuni au kukitengeneza hata tu kukihisia maishani mwake moote...na hapo ndio palipo tanabaisha uwepo wake kwa wale wanaohitaji kujua kama yupo au hayupo..na hiko kitu si kingine bali ni ROHO..
●Pia ikumbukwe MUNGU alimleta mwanadamu ulimwenguni/duniani ili aje kuwa mtawala wa vingi vilivyomo(vyenye kuonekana na visivyo onekana/vyenye kugusika na visivyogusika)..tunaposema ametuleta tuje tutawale,maana yale mwanadamu ana uwezo pia wa kumtawala mwanadamu mwenzio/kiumbe mwenzie kiakili,kifikra,kijinsia,kidini,kisiasa,kiuchumi n.k
●Pia MUNGU katupa uhuru mkubwa bila siye kujua na kwa kujua na katuongezea na machaguo kibao kadri tupendavyo kuchagua..

N.B
KWAHIYO MANTIKI YANGU YA KUKATAA NI KWAMBA MBONA JAMII,NADHARIA,DINI,MICHORO NA VITU VINGI TU VYA KARNE NA KARNE MABAKI YAKE YAMEWEZA KUPATIKANA KWANINI HAWA WANYAMA AU VIUMBE MABAKI YAKE AU NADHARIA AU MICHORO YAKE ISIPATIKANE MPKA LEO,..PIA NAKATAA KAULI YA KUSEMA BINADAMU HAWEZI KUBUNI AU KUJENGA HOJA AU PICHA AU MUONEKANO WA KITU AMBACHO HAKIJAWAHI KU EXIST (FROM DA' VINCI COMMENT YAKE NILIIONA HUMU)...LEO HII TUNA NDEGE AMBAZO HAZINA PIROT,SMARTPHONES,INSTAGRAM,FACEBOOK,TRENI ZA UMEME,SATELITES,ACREBES, VITU VINGI TU VYA AJABU AMBAVYO HAKUNA USHAHIDI KAMA VILIWAHI KU EXIST BEFORE...BALI HIYO YOTE NI KAZI YA AKILI TULIYOPEWA.
PIA MAMBO MENGI YANAFANYIKA NA YATAFANYIKA KUPITIA UWEPO AU HOJA YA MUNGU ILI TU TUENDELEE KUTAWALA/KUMILIKIANA KIFIKRA,KIUCHUMI,MPAKA KIDINI....KWA KUMALIZIA NINGEPENDA KUSEMA KWAMBA MUNGU AMETUPA AKILI NI JAMBO LA KUSHUKURU KWASABABU NI JAMBO KUBWA MNOO KAMA TUTAJUA KULITUMIA NA KUJUA THAMANI YAKE KAMA BAADHI WALIVYOFANIKIWA KULITUMIA.
 
Sasa kifaru si wapo dunuani
Hao dragon na leviathans nao wapo mkuu?? Afu huyo kifaru ni assumption tu ya wanatheolojia lakini unicorn kiebrania ni farasi mwenye pembe sio kifaru maana kifaru anatajawa kwenye biblia separately kabisa.
 
...unajua iyo yote ni historia ...mimi binafsi niko 50 kwa 50 yawezekana ni kweli walikuepo au hawakuwepo ila bible imewataja maybe kureplace or kuficha maana au jambo fulani ambalo lilitokea wakat huo....
 
Nikumbushe tu,isaya mwenyewe sio wazamani kivile,amekuwapo enzi za Babylon empire,ambayo wala haiko stone age,iron age wala bronze age...
Hao wanyama sijui aliwaonea wapi,wakati yeye akiishi eneo la jangwa
Hapa naona controversy inaanzia.... Ila kama hakuwaona labda alisoma kwenye mythology lakini cha kujiuliza kuna maeneo wanamquote MUNGU hasa kitabu cha Ayubu akisema alimuumba Behemoth,dragon na leviathan sasa najiuliza kama MUNGU amesema mwenyewe ina maana waliexist na kama si kweli ina maana walioandika walituingiza mkenge au walikosea kutafsiri tu??
 
Nikumbushe tu,isaya mwenyewe sio wazamani kivile,amekuwapo enzi za Babylon empire,ambayo wala haiko stone age,iron age wala bronze age...
Hao wanyama sijui aliwaonea wapi,wakati yeye akiishi eneo la jangwa
Nikukumbushe pia hakuna nabii yeyote aliandika chochote bila kufunuliwa na MUNGU. Kwaiyo usishangae isaya kuandika mambo ya zamani hizo hata kabla ya yeye.
 
Naamini hivi vitu vilikuwepo, sema vinapotea kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi
 
Mimi ninachoshukuru ni Mungu kutuumba na akili inayoebdelea kujifunza wakati wote.

Unapowasikiliza wahubiri na waalimu wa Biblia unakuta wanatofautiana kwa kiasi kikubwa sana.

Mf umesema nabii Isaya alitabiri kuanguka kwa utawala wa babeli na makazi yake kuishi wanyama wa mwituni akiwepo huyo SATYR ambae umemtafsiri kama jini.

Labda tungepata kwanza tofauti ya jini na huyo kiumbe.
Maana nilishawahi kumsikia mwalimu mmoja wa dini Mwakasege akizungumzia kifungu hiki cha Isaya 13:21 tofauti kabisa na wewe ulivyo bainisha.

NIKUPE PONGEZI zitto junior NA WADAU WENGINE KWA KUSHARE NASI YALE MNAYOKUTANA NAYO KATIKA KUTAFUTA MAARIFA ILI NASI WENGINE TUJUE DUNIA IMETOKA WAPI NA IPO WAPO NA MWELEKEO WAKE KWA SASA.
 
Mkuu kwa biblia ya kiebrania jina lililotumika ni sartyr na hakutajwa mwenyewe walitajwa mpaka dragon na cockatrice ambao hapa walitambuliwa kama wanyama ila biblia ya kiswahili ilikosa neno la moja kwa moja kuelezea nusu mtu nusu farasi so ikageneralise kwa kumuita JINN maana wanamuona kwa jicho hilo ingawa biblia halisi ya kiebrania haikusema jinn bali mnyama ndio maana nkajiuliza je huyu kiumbe alikuepo ama tafsiri ndio tofauti!!

Kinachotupa maswali zaidi ni mstari kama huo wa Ayubu nlioquote hapo kwenye post #1 ambapo Mungu anaeleza jinsi alivyoumba hao viumbe sawa na wanadamu!! Ikimaanisha kama wangekuwa majini ambao ni malaika walioasi basi asingesema tumeumbwa sawa na wao pia biblia ya kiebrania ingeandika JINI na sio MNYAMA tena ikimtaja kwa jina kabisa.

Hivyo kwa maoni yangu Sartyr sio jini bali kiumbe kilicho hai yaani mnyama kulingana na biblia ya kiebrania
 
Samahani kwa kuingia katika mambo ya dini.
Mi nimesemahivyo maana nimemsikia mara nyingi sana mwalim wa Biblia tena mkongwe akitolea mfano wa nyumba ibaweza kukaliwa na majini iwapo mambo fulani yatakiukwa. Yeye alikua akitumia kifungu hicho cha Nabii Isaya na akasisitiza kua hao majini bundi nk wanapata kibali cha kukaa katika nyumba na wewe mwenye nyumba huwezi kuwatoa kiurahisi maana wamepata kibali kwa kupitia huo mstari wa nabii isaya. Mambo ni mengi aliosema lakini alimaanisha pale palipo tajwa jini likikua jini kweli na sidhani kama anaweza kutafsiri vinginevyo.

Labda tuseme lilikosekana neno sahihi la kiswahili wakati wa kutafsiri Biblia kutokana na hio ya kiebrania kumtaja huyo mnyama.
 
Haya mambo ni mazito sana kwa sababu yapo nje ya akili ya kawaida ya mwanadamu. Ila mi naona kuna uwezekano mkubwa sana wa viumbe hivi kuwahi kutokea kwa sababu wanyama km dinasol amethibitika kitaalam (science) miaka ya hivi karibuni angali story zake zilikuwepo miaka mingi iliyopita.
 
Ina maana Biblia imepotosha mkuu??
Biblia haijapotosha mkuu, inasema wale malaika waasi uzao wao ulikua ni wakikatili ni balaa. waliwaingilia kimwili wanawake wa kibinaadamu yakazaliwa majitu ya ajabu ( giants) na hawakuishia kwa binadamu tu waliwaingilia mpaka wanyama. sasa jiulize mnyama anapoingiliwa na jiants akapata mimba atazaa kitu gani ? kwa mawazo yangu hao wanyama Kama walikuwapo basi ni zao la hao jiants. Na ndio maana kilipofutwa kizazi cha jiants ina maana ni pamoja na mazalia yake yote. sababu ni kwa nini basi walioumbwa na mungu mwenyewe wapo kama, Papa, nyangumi n. K. kwa hiyo kwa mtizamo wangu ni kwamba endapo tutakubali jiants walikuwapo Basi na hao wanyama wa ajabu wakubwa walikuwapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana mkuu hili nafikiri ndio jibu sahihi la uzi huu ingawa cha kujiuliza mbona biblia inasema WALIUMBWA na MUNGU wakiwa na mfumo huo huo?? Mfano Leviathan na Behemoth maneno ya Mungu mwenyewe zaburi na Ayoub wanamnukuu akisema ALIWAUMBA je ina maana baada ya kuwaumba ndipo wakavamiwa na hao malaika huko baadae?

Pia ikiwa waliingiliwa na malaika wabaya ndio wakabadilika hivyo tunaona kibiblia hao wanefili waliangamizwa kwenye gharika ila cha kujiuliza hao wanyama wenye damu ya kimalaika waliwezaje kurudi kipindi cha kina nabii isaya au ina maana malaika wengine walikuja tena kuwavamia wanyama

Pia swali la mwisho unisadie je unafikiri nni kimewatoesha kiasi sahivi hawapo duniani tena??

Ubarikiwe

Cc mitale na midimu Mnabuduhe mpite huku wakuu
 
Ni kweli leviathan ana mengi sema source nyingi ziko nje ya biblia ndio maana hapa twamgusia tu kulingana na biblia inavyosema maana kuna uzi mmoja nlimuongelea both nje na ndani ya biblia ikaleta controversy kubwa sana.

Wafahamu viumbe watatu wa kutisha wa baharini - JamiiForums
Ni kweli mkuu nimeupitia huo uzi mwanzo mwisho aisee watu wanataka yale wanayoyaamini wao ndio yawe hivyo hivyo.
Lamsingi ni kutovunjika moyo tu mdogo mdogo tutaelewana tuu. Wengi tunakusoma mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom