what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha
Bila kujali mleta hoja kajiunga na JF lini, mimi pia nikiangalia mtiririko wa matukio ya kuinajisi nchi baada ya kifo cha mwalimu, nabaki najiuliza swali kama lililoletwa na ndugu Shimbo.
what about Balozi Ngaiza?
Kweli ufisadi sio mchezo hadi walimuua mzeee wwtu. Never knew thisKansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!
Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Ooh!!! ngoja nitoke humu. But before I leave....you might even end up asking: Dr Omari Ali Juma died naturally?
death is death.
Since we are asking..... WHAT ABOUT KOLIMBA........... KIGOMA ALLY MALIMA.....
duh! Ngaiza tena? Yule mzee jamani acha tu,SOKOINE? CHACHAGE? Ms MBATIA. Acha bongo iitwe bongo!
Waliosherehekea kifo cha Mwalimu hawakuwa Afrika kusini peke yake. Hata pale Magogoni walikuwepo.
Natural death ikoje na unnatural death ikoje ?