Did he truly mean what he said??


Hahahahhaahhahaaaa@we hujion kama ulikuwa una testiwa tuuu@et i wiL marry Yu aftr 3 yrs thn hata ckutafti@lyk seriazLy
 
Unajipendekeza ndio...

Achana nae ila kabla ya kuachana nae, fanya kila uwezalo hakikisha anakuwa mikononi mwako kisha mfanye aamini unampenda sanaaa baada ya hapo mtupe kwenye dustbin ili na yey augue japo kidogo.



Mhhhhh Cc: atoto

...one day nitakuja 'faragha'!
 
Last edited by a moderator:
Fanya hvo, hakikisha kama anauhusiano usambaratishe kwa gharama yoyote ile, kisha fanya niliyokwambia,

Mgawane maumivu kwa wakati tofauti.

Daaaah wifi umenikumbusha mbaaali, enzi hizoooo!!
 
Aaaargh kuna muda inabidi uelewe sio kila ahadi ni ya kutimizwa na si kila neno litokalo mdomon limemaanishwa mengine ni ajali,upendo haupo katika maneno waonekana kwa matendo
 
Hahahaaaa! Naona ditective unakusanya ushahidi tu, nawe umeamua kutumia fursa kama Kaboom?

Ww ushaniharibia kwa missyrose wangu..Nakuchukia kama nn
 
Last edited by a moderator:
Kwan ujapata Mwanaume mwingine au umejitolea kumpenda huyo tu??
Kurudiana na ex sio sawa tu na kula matapishi, bali ni kuishi na aliyekufa.

Ila wanaume tupo wachachee, pambania zaga lako kama huna kimbilio
 

kwa maana hiyo hukuniamini sio?? umeamua kuja kunisema jamvini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…