Hellena Goodluck
Member
- Sep 10, 2014
- 84
- 26
Alikuwa ni boyfriend wangu and we broke up last year,but kuna siku nilimtext ili nimsalmie,baada ya salamu akanitext kuwa he will marry me after 3 years. Kilichonishangaza ni kuwa tangu hiyo siku hajawahi kujirudi na kunichukulia kama his girlfriend na wala haoneshi any consideration.
Kwa sababu we are far from each other but hua hanitext wala kunipigia,nisipofanya mimi kumtafuta ndo basi hivo,and inafkia kipindi nachoka coz naona its like najipendekeza sana kwake.
Naombeni ushauri jamani,should i take his words and trust him or does he play with my feelings?