DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

Mkuu kwenye biblia mtu alieishi miaka mingi ni Enoko, na umri wake unakadiriwa ulifika miaka 900 na zaidi kidogo. ila haikufika elfu moja
 
Kadri teknolojia inavyoongezeka wanadamu watazidi kudumaa kimaumbo, hata ukichukulia miaka ya zamani watu waliishi kwa kupambana na mazingira wakitumia nguvu nyingi sana hivyo kuwaimarisha miili yao kuwa imara zaidi.

Ndio maana hata umri wa kuishi unazidi kufifia kizazi kwa kizazi,

Lishe duni mfano chips yai, soda, ambapo watu/wa zamani walitumia vyakula vyao vya asili kama asali, nyama, vyakula jamii ya mizizi na matunda pori kwa wingi.

Modern mankind is a weakest creature ever existed!!
 
Hizo story nimezikuta hapa zakhemu kibonde Maji Jamaa aliemda kuoa akachukua mshenga MTU mbili Tu. Mkwe kawauliza wenzenu wako wapi? Tumepika chakula kingi.jamaa akasema sisi wawili tunatosha.Jamaa akaletewa sinia akafuta akanywa na togwa ndoo lita kumi.kulikua na gogo la mnazi limeanguka uwanjali kalibeba amamuuliza mkwe niliweke wapi? Mkwe macho yamemtoka gogo la kubeba watu watano,baada ya kuondoka mahari ilirudishwa. Kuna jamaaa huyu nilimshuhudia anaitwa wa mmongo.jamaa alikua naguvu hatali kwa madreva wa matipa ya mchanga miaka ya 2000 lazima umjue. Askari maturubai walikuwa wanamuogopa sikumoja nami nipo kawajambisha askali saba wakatulia mwanaume anakatiza zake njia ya kibulugwa.alikua anadhulumu wapakiaji wenzake ukitoka mgao hella yote anachukua yeye. Aliwahi kumpiga bondi japo si bondia laundi ya tatu mtu kazima.muda wote koti kubwa na buti anatroti kama mbwa. Mpaka raia walipo mchoka ikaaandaliwa mechi timu mmoja ikachukua kama baunsa majoe huko.dk za mwisho mechi ikaanza twimbili timu zote mashabiki wakachenjia piga sana na kumuacha uwanjani wakijua kavuta.kaja kuokotwa na wanajeshi baada ya kujivuta hadi kwenye vichaka anavidonda mwilimzima kaenda kuvutia temeke baada ya siku tatu. Huyo ndo mbabe was zakhem wamongo
 
Mkuu kwenye biblia mtu alieishi miaka mingi ni Enoko, na umri wake unakadiriwa ulifika miaka 900 na zaidi kidogo. ila haikufika elfu moja
Hapana Henoko aliishi miaka isiozidi 360 ndio akapotea!!! Ila aliyeishi zaidi kuendana na biblia Methuselah... Alikaribia miaka elfu tena hakufa kifo cha kawaida bali Mungu ndio aliamua kumtoa uhai ili gharika lisimkute hivyo angefika miaka 1000 kweli maana alikufa miezi sita tu kabla ya gharika!!

Kingine watu waliofika elfu wapo mkuu maana biblia haijaongelea kila mtu mkuu mfano haijaonyesha cain alikufa lini?? Haielezi shem alifariki vipi?? Tubal-Cain huyu muanzilishi wa freemasons kwenye biblia haisemi aliishi miaka mingapi?? So tusiconclude tu kwa kuangalia maandiko machache if at all tunataka kupanua maarifa

Ni hayo tu mkuu,ubarikiwe
 
Upo mwaka askari wa marekani,walikutana na GIANT mapangoni Afghanistan na walimua wakasarlfirisha mwili marekani,niliiona video yake,tena ni miaka ya hivi karibuni
Embu tuongeze info mkuu..... Hiyo video bado unayo au hata link tusafishe macho
 
Duuh aseee huyu jamaa anakidhi viwango vya kuitwa JITU maana sio kwa maguvu hayo

Kwa mtu kma huyo anakuwa amezaliwa na hizo nguvu au mazoezi???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…