Mikwara hiyo sio ya kuogopa atapambana na mwisho atashindwa.....Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.
WANATUTISHA KWELI KWELI,mwenzangu omukama nanka, kalala pabaya naogopa kwelikweli.Hao washamba wasiwatishe bana.
Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.

Kufichua uovu gani wakati cdm wanakandia tu huku awamu ya tano ndio inafichua maovu na kuweka udhibiti. cdm ni uchochezi tu kutukana na kukashifu jpm na serikali yakeLawama yangu imfikie Mh. Magufuli.
Nchi itaendelea kwa kufichua uozo na sii kuufunika.
Atumie mitandao ya kijamii kufichua maovu, wanaomdanganya azime mitandao wanafanya hivyo ili kujifunika na kisha kufanya mabaya.
Ok kachukue elfu saba yako.....umeshaitaja CDM kama ulivyoagizwa.Kufichua uovu gani wakati cdm wanakandia tu huku awamu ya tano ndio inafichua maovu na kuweka udhibiti. cdm ni uchochezi tu kutukana na kukashifu jpm na serikali yake
Aaah kwakweli bora tujitenge nasisi tue na rais wetu ambae atawasikiriza wananchi wakeWANATUTISHA KWELI KWELI,mwenzangu omukama nanka, kalala pabaya naogopa kwelikweli.
Napokea jukumu hili kwa mikono miwili.Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.
Pakavu, matusi ya nini? Why abusive language. Angalia bandiko langu, kuna sehemu kuna matusi? Next time I will not spare you! I am telling you! Let me take note of you.Wacha Ujinga na Uoga wako wewe Lofa. Hatujashindwa kujisemea wenyewe mpaka uombe mamluki kutusemea. Tunaweza kujisemea sisi wenyewe na haki hii ni ya kikatiba.
Sina sababu ya kujibizana na wewe.Hakuna kitu kama ,,international democratic community" Dunia hii, ila kilichopo ni interest tu, kama mnataka Mzungu aingilie mambo ya Tanzania mtafutieni maslahi kwanza!