Kwani hivyo vitambulisho haviwezi kupatikana kwenye hizo balozi?Mpaka arudi Tanzania kwa kupata kitambulisho cha uraia ndo kinawezesha apate passport
Unaisemea serikali?IQ yako ni ya chini sana...kuandamana ni kosa??!!Kwa mazingira aliyojitengenezea yeye na wenzake walio andamana kwenye balozi zetu huko ughaibuni sidhani kama inaweza kuwa rahisi sana kwake kupata huo ushirikiano na taasisi za serikali waliyokuwa wakiikashfu.
Sasa kwanini uhitaji pass ya Tanzania kama huoni umuhimu wa utambulisho wa Utanzania wako? Si ukae tu huko mbele bila utambulisho wowote.? Nawaonea huruma sana vijana wanaokumbwa na kisuri suri cha kisiasa!Kwani hivyo vitambulisho haviwezi kupatikana kwenye hizo balozi?
Yani nitoke zangu mbele eti nafuata kitambulisho cha uraia TZ?
Si wendawazimu huo
Wewe ya kwako iko juu kiasi gani? Kama halikuwa kosa kwanini walizuiliwa?Unaisemea serikali?IQ yako ni ya chini sana...kuandamana ni kosa??!!