kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,580
- 18,952
Bebee nishakua sana J kwenye ndoa za watu!Bebee ukitaka kumuepa J basi wewe ndio uwe J.
[emoji39][emoji39][emoji39]Hahaaaa. You are good company for the writer.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
🚶🚶🚶🚶
Kwahiyo bebe kumbe wewe ni changamoto🙆🙆🙆🙆Bebee nishakua sana J kwenye ndoa za watu!
Sasa inapokuja ndoa yako mwenyewe ni mtihani kiidogo,hapo inabidi kukaba hadi mashabiki maana huchelewi kusaidiwa
Hujambo lkn we mtoto?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
- KANA -
Kwema kabisa.Sijambo, kwema huko uliko?
- KANA -
Una haribu mada na hiko kilugha chako. Huoni mie nimekaa kimya?Hii ni ile ujanihisi uko single kumbe uko ndani ya ndoa[emoji134][emoji134]
Mtoa mada nisamehe "kingreza" sio midomo yangu.
Kingreza sio midomo yangu mama.Una haribu mada na hiko kilugha chako. Huoni mie nimekaa kimya?
Umekula?
[emoji39][emoji39][emoji39]
- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shindwaaaaa!
Wapi jamani?Wapo.