Mwenye uzi kaja na lugha ngeni sababu hataki matusi, kejeli na nk kuwa komesha vilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila on a serious note, yaani mke wangu anarudi alfajiri!, tena anakuja amelewa! I won’t let that happen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema haya yanatokea sana kwenye maisha yetu ya kila siku, Yaani ukiwa busy sana vijana lazima wakusaidie!kama namuona J akimchukua Annette kualaini kabisa!Then better be a good husband. Never let her feel lonely. Give her companionship. Just as God intended.
Ngoja nikae kwa kutulia kabisa!Wait for it honey.
Amesema suala la wanaume kuwapa pesa wanawake ni lazima sio hiari wala ombi.Aliyeelewa anitafsilie japo kwa ufupi tu..
Maana Tanzania ni moja hatuwezi kutengana sababu ya lugha tu iliyokuja na meli
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Mimi wewe kwani we ulitaka kuelewa nini ..mbona mi sijakuelewa na sijakusumbua teh eh ehHahaaaaa. Ndo nini sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achana na Mimi wewe kwani we ulitaka kuelewa nini ..mbona mi sijakuelewa na sijakusumbua teh eh eh
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo usingizi sina!N
Not tonight na wewe. Huna usingizi?
Tag me so that I can see a notification when I wake. Wanna have a mind boggling thing before dawn mum.You are just being a lazy sod.
Go to bed, you will read tomorrow when your mind is fresh