Diary of a night in my past

Diary of a night in my past

huwa sifurahii mwanaume kutumia maneno ya kiingereza mara kwa mara katika taarifa ambayo anaiandika katika lugha ya kiswahili....hizi huwa ni tabia za wadada,
 
Hahaaaa. Wapo wawili na ndio wananiweka bizeeee mpaka nimeadimika.
The good thing with life ni kwamba unavyozidi kukua na majukumu kuongezeka na wewe unabadilika. I can see that. You r not the same. Gugu bye bye hahahaa
 
huwa sifurahii mwanaume kutumia maneno ya kiingereza mara kwa mara katika taarifa ambayo anaiandika katika lugha ya kiswahili....hizi huwa ni tabia za wadada,
Tema mate tumchape huyu mwanamme bro ili upate kufurahia kidogo.
 
The good thing with life ni kwamba unavyozidi kukua na majukumu kuongezeka na wewe unabadilika. I can see that. You r not the same. Gugu bye bye hahahaa
You noticed huh?

Lol. Good day buddy.
 
Doh, niliisoma hii miaka ile nikaishia kucheka bila kukoment.. Acha leo nikoment...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom