chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
anatumia haki yake kikatibaHivi mi sielewi kitu hapa,huyo Dada ameshaona Baba yake alivyoshughulikiwa,wakina Karegeya walivyonyongwa huko hotelini,yule maza Victoria alivyopigwa mvua ya kutosha huko gerezani,Nyamwasa anavyowindwa huko SA.....
Ye wkt anapambana na huyo Kagame alidhani ana sifa gani ya tofauti mpk asishughulikiwe kama wenzake.
Apambane na hali yake tu maana alikua anajua Siasa za kiafrica zilivo.