Diane Shima wa Rwanda ni nani na ametokea wapi?

Diane Shima wa Rwanda ni nani na ametokea wapi?

Katika siasa kuna mifumo miwili kuongoza na kutawala.

Paul kagame anatumia mfumo wa utawala
 
5195882_3_0a12_diane-rwigara-le-20-juin-2017-a-kigali_3a5d7f19c05189e26a93de1dbfc0efca.jpg
Diane-Rwigara-06.10.2017-in-Nyarugenge-Court-696x780.jpg
 
Hivi kuna rais aliyeweza kutawala nchi bila jeshi bali akitegemea popularity? Patrice Lumumba aliyetegemea popularity yuko wapi? Kuweni realistic kwenye kauli zenu!
Utegemezi wa Kagame wa jeshi ni kwa sababu ya udikteta wake , tunafahamu kila nchi ina jeshi , lakini si kutumia jeshi kuua raia wako .

Kagame atavuna alichopanda .
 
Hivi kuna rais aliyeweza kutawala nchi bila jeshi bali akitegemea popularity? Patrice Lumumba aliyetegemea popularity yuko wapi? Kuweni realistic kwenye kauli zenu!
....Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi. Popularity huja yenyewe pale unapoongoza (siyo kutawala) wananchi wako kwa uwazi, uhuru, usawa, bila ubaguzi na most of all kwa kufuata misingi ya haki na sheria za nchi. Utakuwa kipenzi cha kila mtu...hutakuwa na haja ya kuzunguka na lundo la maaskari. Siku hizi imebakia tuu mtendaji kata naye kuwa na body guard maana kila mtu sasa ana bodyguard.
 
Ndo umeandika nini kiongozi!?
Kuna rais hapa duniani anaeongoza nchi bila jeshi!???
Mbeki hakutegemea jeshi kumsaidia asitolewe madarakani, aliacha demokrasia iamue, Rais wa Brazil hakutegemea jeshi limsaidie kupambana na wapinzani wake! Kwa kawaida viongozi wengi wasio na damu katika mikono yao hawahitaji jeshi kubakia madarakani. Tunahitaji viongozi wetu Afrika waige mfano wa Mbeki wa Afrika kusini.
 
Donate sperms...kupandikiza mwanamke....kama wanavyofanya ma celeb wa nje...anatoa mbegu ana pandikiza kwa demu anamzalia mtoto bila kukutana!! Hapo sijajua ana maanisha nini!!!!
Hatari aisee! Ndiyo angetusaidia namna mkuu alimaanisha nini!
 
Ndo umeandika nini kiongozi!?
Kuna rais hapa duniani anaeongoza nchi bila jeshi!???
Kagame kazidi wanajeshi ni wengi kuliko RAIA tena wadogo wamejazana hadi sokoni.....kila mahali social media east afrika kelele ni kagame kwa ukatili wake[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom