habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,755
mkuu nini maana yakemsafara wa kima na ngedere wapo
mkuu nini maana yakemsafara wa kima na ngedere wapo
Baada ya baba yake kuuawa kwa tukio analo amini ni sababu za kisiasa,Ni bora angekaa pembeni na Siasa...nahisi kama atapotezwa huyu...!!
Baada ya baba yake kuuawa kwa tukio analo amini ni sababu za kisiasa,Ni bora angekaa pembeni na Siasa...nahisi kama atapotezwa huyu...!!
hawezi kujiamini kwa sababu ya dhulma utesaji wapinzani na ukandamizaji diane shima alinukuliwa akisema ''Rwanda ni rahisi kumpata mbwa aliepotea kuliko binadamu!!''
ZilizopendwaKagame ni muoga sana ! Bila jeshi hawezi kuwa Rais wa Rwanda hata kwa wiki 1
Ndiyo, unataka umuoe?Hajaolewa?
Hana maana anatumiwa Na wasipende maendeleo ya bara Africa, amani iliko Rwanda Ni bora kuliko hadithi ya wanapiga kelele ebu turudi nyuma miaka ishirini ndipo tutakapojua umuhimu wa Kagame kwa Wanyarwanda
hyo ilikua dunia ya mwaka wa 12 sio ya 2017....Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi. Popularity huja yenyewe pale unapoongoza (siyo kutawala) wananchi wako kwa uwazi, uhuru, usawa, bila ubaguzi na most of all kwa kufuata misingi ya haki na sheria za nchi. Utakuwa kipenzi cha kila mtu...hutakuwa na haja ya kuzunguka na lundo la maaskari. Siku hizi imebakia tuu mtendaji kata naye kuwa na body guard maana kila mtu sasa ana bodyguard.
Yoyote aliyekuwa chief spy wa KagameKateregiya yupi? Jenerali Kateregia au Dr Kateregia
Hoja yako ya hovyoHana maana anatumiwa Na wasipende maendeleo ya bara Africa, amani iliko Rwanda Ni bora kuliko hadithi ya wanapiga kelele ebu turudi nyuma miaka ishirini ndipo tutakapojua umuhimu wa Kagame kwa Wanyarwanda
Nchi za kiafrika hata majirani zake wanategemea polisi kuongozaKagame ni muoga sana ! Bila jeshi hawezi kuwa Rais wa Rwanda hata kwa wiki 1
Nchi za kiafrika hata majirani zake wanategemea polisi kuongoza
Hivi mi sielewi kitu hapa,huyo Dada ameshaona Baba yake alivyoshughulikiwa,wakina Karegeya walivyonyongwa huko hotelini,yule maza Victoria alivyopigwa mvua ya kutosha huko gerezani,Nyamwasa anavyowindwa huko SA.....Mkuu hatuna maana ya Kuwa Head of States asitumie states apparatus zake, hiyo ni muhimu hasa kwenye nchi za Africa ambaxo ziko very fragile kwani kiongozi wa nchi akilelega lega nchi inaweza Kuwa kama Somalia kukawa na anarchism war of all against all pamoja na Kuwa nchi ina kabila moja haitawaliki lakini huyo dada excessive forces zinatumika kumsilence hilo ndio silo jambo jema sidhani huyo dada anapose serious threat to the regime na ameisha omba msamaha and she want to move on with life with her family, bado regime inambana so sad!!!