Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
- Thread starter
- #21
DoubleDiff....... mh
Karibu naona masanilo ashakukaribisha
Nashukuru shosti.
DoubleDiff....... mh
Karibu naona masanilo ashakukaribisha
Diana Double Diff karibu ndani ya JF tusukume mbele maendeleo ya Tanzania.
My dia jaribu tiGo ni mtaandao wa wajanja, nina uhakika ukiujaribu asilani huwaweza uacha ukizingatia wewe ni double diff...
Hebu ongea nikuelewe mtoto wa kiume unajiuma uma nini? nshakuambia niko vodacom.
Aksante mashalah DOUBLE DIFF
pia wakaribishwa JF
Hebu ongea nikuelewe mtoto wa kiume unajiuma uma nini? nshakuambia niko vodacom.
Hebu ongea nikuelewe mtoto wa kiume unajiuma uma nini? nshakuambia niko vodacom.
Nilikuwa nakushauri ujaribu na tiGo nina hakika utafurahia maraha yake! Ama vipi wewe ni PM tuongelee mambo ya kujiexpress!
Asante,niliona mtu anamung'unya maneno sijamwelewa.
Ongea hapahapa unaogopa nini.
Ongea hapahapa unaogopa nini.
karibu mwanakwetuAsante ni nickname wananiita vijana mtaani kwa sababu na umbile kubwa na nimeona nilitumie hapa,kwa kifupi triple D.
Mi nitakuja Mburahati week end hii kule kwa yule mzee anae choma kiti moto unapajua pale Diana? Yule anae choma swine week end tu.
Asante ni nickname wananiita vijana mtaani kwa sababu na umbile kubwa na nimeona nilitumie hapa,kwa kifupi triple D.
Mbona kuna mapedeshee wengi tu wana namba za Tigo, lakini kwenye business card zao wameweka za Vodacom.... akikupa kadi yake anakwambia ninapatikana kwenye mitandao yote, lakini ukinikosa piga namba hiyo hiyo kwa Tigo ya kumi na tatu!
Umbile lipi kubwa ulo jaaliwa mtoto wa Kike?