Huo ushoga unaosema niliuona TULIKUWA WOTE TUNAANGALIA HUO USHOGA au WEWE UNAANGALIAGA HUO USHOGA UNATAKA KUNIJUMISHA NA MIMI AU WEWE NI SHOGA.Sijajua labda una miaka mingapi lkn kwenye hii jamii ya sasa kumkataza mtoto ni ngumu unaweza mkataza mtoto akiwa nyumbani lkn akitoka nje anaenda ktk dunia nyingine kabisa na hapo ndipo anapokuta na watu wengine.Hivi hujaona mchungaji au padri wenye Tabia za hovyo au masheikh walioshiba dini wenye mambo ya hovyo hawa nao utasemaje walikuwa hawafunzwi au kulelewa vizuri na wazazi wao,nenda shule za secondary angali kuna wanafunzi wangapi wanafanya Hip Hop ya kiswahili na kiingereza hawa watakuwa wamejifunzia wapi na zaidi ya silimia 90 ya nyimbo za hip hop matusi matupu au labda tunayaona si matusi kwa sababu wameimba kwa kiingereza.Mbona wewe hujawa shoga na kila siku unauona ushoga wa nchi za magharibi???? Yani unachotaka kusema ni kwamba huwezi kuwakataza watoto wako tabia za kishoga mpaka television zizime matendo ya kishoga kwenye television zinazopiga nyimbo za nje.
Empty set kabisa, kichwa kama embe bolibo bichiHuo ushoga unaosema niliuona TULIKUWA WOTE TUNAANGALIA HUO USHOGA au WEWE UNAANGALIAGA HUO USHOGA UNATAKA KUNIJUMISHA NA MIMI AU WEWE NI SHOGA.Sijajua labda una miaka mingapi lkn kwenye hii jamii ya sasa kumkataza mtoto ni ngumu unaweza mkataza mtoto akiwa nyumbani lkn akitoka nje anaenda ktk dunia nyingine kabisa na hapo ndipo anapokuta na watu wengine.Hivi hujaona mchungaji au padri wenye Tabia za hovyo au masheikh walioshiba dini wenye mambo ya hovyo hawa nao utasemaje walikuwa hawafunzwi au kulelewa vizuri na wazazi wao,nenda shule za secondary angali kuna wanafunzi wangapi wanafanya Hip Hop ya kiswahili na kiingereza hawa watakuwa wamejifunzia wapi na zaidi ya silimia 90 ya nyimbo za hip hop matusi matupu au labda tunayaona si matusi kwa sababu wameimba kwa kiingereza.
Yani wewe umekuwa ukimchukia diamond hadi nakuogopaSafi kabisa.
Tuone kama atawika na huko nje ili tumsunt e vizuri naibu waziri
Ushauri bana kutoa virahisi ila vitendo ngumu mno kutekelezeka
Mkuu tuzo anazopewa diamond ipo tuzo gani kwa ajili ya scandal??? Mimi simpend diamond ila nayakubal mafanikio yake punguza chukiAnawika Tz na kenya tu
Dai anajulikana kwa skendo za wanawake zake zaidi kuliko kazi zake.
atawakimbia nyinyi wachawiMkimbia kwao mtumwa! Nyumbani ni nyumbani. Sijaona cha kumkimbiza nchi
atawakimbia nyinyi wachawi
kwanini mnampangia.. mnampa hizo milioni 100 na ushee atengeneze hizo video?!Ahame tu.. We dont give Af kama hatataka kubadili muonekano wa video zake Ahame tu.
Na hizo video huwa wanaangaliaga nani? hizo show anafanyaga na akina Tifa?kwanini mnampangia.. mnampa hizo milioni 100 na ushee atengeneze hizo video?!
mbona anapambana nao hao "wachawi" wengine wamo humu kwemye hii thread wengine anawajua,,sasa akipambana nao ndo mnamuambia eti masikio yamezidi kichwa, mara tunaona anguko lake, mara asicheze na sirikali, mara anajidai sababu ana pesa, mara kalewa umaarufu...Wapi hakuna wachawi? mchawi hakimbiwi pambana nae
duh atazitoa wapi? duh ..mtu kama diamond unauliza kwamba atapata wapi milioni 100 akiacha muziki...!? like seriouslyNa hizo video huwa wanaangaliaga nani? hizo show anafanyaga na akina Tifa?
basi kama sio sisi mashabiki atengeneze aangalie na akina Tifa tuone izo mil100 atazitoa wapi ili atengeneze video zingine
Mkuu tangu zari atangaze kuwa hayupo na Diamond umekuwa against na mond sana cjui wakirudiana utaanza tena kumsifia Mond???Hahahaha today nimekua team kiba safi kabisa
Mkuu tangu zari atangaze kuwa hayupo na Diamond umekuwa against na mond sana cjui wakirudiana utaanza tena kumsifia Mond???
Mwambie ahame anachelewa. 2one how Far he can Go,without Tanzania support.[emoji13] [emoji41] [emoji41]duh atazitoa wapi? duh ..mtu kama diamond unauliza kwamba atapata wapi milioni 100 akiacha muziki...!? like seriously
unafikiri tanzania nzima mkisusa kuangalia video zake mtampunguzia nini, ni wabongo tu mnaongalia video zake? ...na mind you ni watanzania wangap wana access na simu za smartphone pia zaid wenye kuangalia youtube ...pengine wenye "kinyongo" ni watanzania laki 5 dhidi ya milioni 25 wanaompenda na wanaongalia video zake hata iweje