Diamond wakikubania sana hama nchi

Diamond wakikubania sana hama nchi

Deeeem..! Dina come this wei please.. Hizi nondo umetupia leo si mchezo. Consciousness.. Diamond anasema bongo hakuna ukumbi wa kufanya Muziki unaochukua watu zaidi ya elfu 10 tu wakiwa ndani. Amefanya mazungumzo na wawekezaji wako hatua nzuri ili tupate ukumbi mkubwa bongo tuache kula vumbi la leaders.. waziri yuko bize kufungia wasanii na wapunguza frustrations kama akina Sanchi.
 
Diamond anajua kiukweli anahitaji tumbembeleze ,Nigeria sana wasanii wengii waliotoka sisi ni Diamond na Aly kiba tunataka wasanii wa we kimataifa hata 30 na zaidi ,wanaudhi sana hawa kina shonza
 
Channel za music zilizopo kwenye visimbusi kama azam na zinginezo zinaonyesha miziki mingine isiyo ya maadili na wanaimba kiswahili tu.iweje diamond afungiwe wakati miziki mingine inachezwa tu tena isiyo na maudhui ya kupendeza!wafungie chanel na u tube tusione zingine kama tatizo ni maadili
 
wanatuudhi sana watuulize wananchi tunataka video zipi ,waone hizo kura yaan video anazotoa Diamond ndio tunataka hata zikiwa za uchi tunataka sisi
Video ndio zile watu tuna download tuburudike.... sio tunashusha video kutoka youtube tunakuta video queen wamevaa vitenge na manyoya....

Hakika hatopata view kabisa....
 
Mnamdanganya kabisa. Mimi ni shabiki wake lakini kwenye huu ujinga wake wala sipo pamoja naye.....hata uko kenya kuna sheria....waulize sauti soul walifungiwa mara ngapi video zao? mimi bado najiuliza kweli video zake hajaona shida? Diamond lazima ajirekebishe na ajifunze kupunguza mdomo...... Hakuna sehemu ana soko kubwa zaidi ya tanzania na hakuna anapo weza kuwa huru zaidi ya tanzania.....aende kenya aone,,,,
 
Channel za music zilizopo kwenye visimbusi kama azam na zinginezo zinaonyesha miziki mingine isiyo ya maadili na wanaimba kiswahili tu.iweje diamond afungiwe wakati miziki mingine inachezwa tu tena isiyo na maudhui ya kupendeza!wafungie chanel na u tube tusione zingine kama tatizo ni maadili
wazuie hizo channel kama wana ubavu sana
 
Video ndio zile watu tuna download tuburudike.... sio tunashusha video kutoka youtube tunakuta video queen wamevaa vitenge na manyoya....

Hakika hatopata view kabisa....
hawajui sanaa ni ubunifu watoe kikundi chao waimbe tuone watafika wapi
 
Mnamdanganya kabisa. Mimi ni shabiki wake lakini kwenye huu ujinga wake wala sipo pamoja naye.....hata uko kenya kuna sheria....waulize sauti soul walifungiwa mara ngapi video zao? mimi bado najiuliza kweli video zake hajaona shida? Diamond lazima ajirekebishe na ajifunze kupunguza mdomo...... Hakuna sehemu ana soko kubwa zaidi ya tanzania na hakuna anapo weza kuwa huru zaidi ya tanzania.....aende kenya aone,,,,
kakosea wapi? Hao Basata wamemsaidia nini Diamond?wana msaada gani hawa mawaziri wa sanaa? vipi kuhusu channel za nje zina maadili?
pesa anazopata Diamond nyingi ni za nje ya nchi tuambie hapa anapiga shoo ngapi kwa mwaka acheni upuuzi wenu kila kitu siasa
 
Back
Top Bottom