Sasa ukinifukuza wee niende wapi ??? Ikiwa miguu pako ndo najihis salama km mtoto mchanga awapo miguun kwa ***** kupuuuu !!!ahahah toka hapa
Upo radhi kumruhusu mke wako atembee nusu uchi kisa jirani yako kamruhusu mke wake kutembea nusu uchiKufungia video za local artist kisa maadili na kuziacha za kina nicki Minaj wakionesha maziwa ni sawa na kufunga milango ili kuzuia mbu lakini madirisha ukaacha wazi... Hujafanya lolote, mbu watakung'ata tu na malaria utapata
Muogo wa jang'ombe na mkunaji na mkunwa,hizi hazijafungiwa,kwa hiyo tukitaka kufungia tufungue mpaka za miaka hiyo na ukitaka kuifungia Salome basi hata nyimbo ya issa matona aliyosema "babu jinga nipigie kwakwaru" nayo ifungiwe.Ndugu kama mfuatiliaji wa mziki hata wazee wazamani wa zilipendwa walikuwa wanaimba matusi na mwisho kaisikiize nyimbo aliyoitoa Bella juzi inaitwa Lamba Lamba.Nyimbo zake nyingi zina matusi tupu,Ile salome wameisahau tu awamu ya pili nayo waifungie
Mimi nipasuke thubutuu sema siku hizi nimepunguza ushabiki ungenitambua
Wanaichukia nyama ya nguruwe,alafu mchuzi wake wanaunywe.Katika ulimwengu huu kama umeruhusu utandawazi basi kwenye maadili lazima utafeli na tunadanganyana kulinda maadili wakati utandawazi umeuruhusu ila kama tunaweza tuwe kama waarabu,wenzetu wapo fasta ANACONDA ya Nicki minaj,ilivyotoka siku hiyo hiyo ikapigwa kufuli kwa hiyo kama tumeamua kumonitor basi mfanye kwa nyimbo za nje na za ndani.TCRA wenyewe kwenye ving'amuzi kibao wamerusuhu mpaka channel zinazopiga nyimbo za hovyo,alafu wanazuia nyimbo za ndani huu ni UWENDAWAZIMU WA VIONGOZI YETU.Kufungia video za local artist kisa maadili na kuziacha za kina nicki Minaj wakionesha maziwa ni sawa na kufunga milango ili kuzuia mbu lakini madirisha ukaacha wazi... Hujafanya lolote, mbu watakung'ata tu na malaria utapata
Kwani hiki kizazi cha sasa kimeharibika kwa sababu ya video hizo za ndani? Utake usitake huwezi kupigana na maadili wakati umeruhusu MWENYEWE utandawazi lazima ufeli na lazima vijana wataiga kile wakionacho kama umeamua kufungia fanya kama waarabu,funga channel zote za nje na ndani zinazo onyesha video mbovu za nje .Upo radhi kumruhusu mke wako atembee nusu uchi kisa jirani yako kamruhusu mke wake kutembea nusu uchi
hey lulu ni kweli anastahili tuzoHawampi hata tunzo yaa heshima ni ungese kabisa ahamie Kenya halafu kuna njia rafiki wangezitumia kuongea na wasanii lkn wapi...hakuna lolote hivi jipu la hii wizara why halionekanagi miaka yote!...
Mbona wewe hujawa shoga na kila siku unauona ushoga wa nchi za magharibi???? Yani unachotaka kusema ni kwamba huwezi kuwakataza watoto wako tabia za kishoga mpaka television zizime matendo ya kishoga kwenye television zinazopiga nyimbo za nje.Kwani hiki kizazi cha sasa kimeharibika kwa sababu ya video hizo za ndani? Utake usitake huwezi kupigana na maadili wakati umeruhusu MWENYEWE utandawazi lazima ufeli na lazima vijana wataiga kile wakionacho kama umeamua kufungia fanya kama waarabu,funga channel zote za nje na ndani zinazo onyesha video mbovu za nje .
Una umri gani kwanza?Hii nchi ishakuwa ya ajabu sana ,hivi nyie Basata au mawaziri wa sanaa mmeshawah kuwasaidia nini wasanii au kuwainua katika swala La mziki ,Mkatae mkubali Diamond katutangaza duniani anapoenda kwenye matamasha makubwa ya nchi anabeba Bendera ya nchi ya Tanzania,anapotengeneza video anatumia gharama kubwa sana ,pia kuwapata hao wasanii anaowashirikisha ni kazi kubwa,halaf kanatokea kajitu kamekurupuka huko eti kanamfungia nyimbo wakati hata kuwasaidia wasanii wenu hakuna inafanya mtu afikirie sana
Kwa upande wangu Diamond alivyojibu ni sahihii kabisa na ikibidi kama figisu zinazidi hama tu tutakuelewa maana hili linchi halieleweki yaan ni bongo bahati mbaya ,mnazuia mziki wa diamond zuieni na channel tunazoangalia za miziki ya duniani huko .
kwanza sisi mwenyewe tunapenda kuona hivyo vichuchu na vikalio kwenye video na mauno ya feni ,maadili my foot hatuyataki hayo maadili yenu sisi yana msaada gani
kwa hili Basata fanyeni kazi zingine Hamna msaada na wasanii wa hapa nyumbani.
Diamond wakibana hama na hiyo wasafi TV hamishia hata Kenya waimbe wao Basata tuone nani atasikiliza mfyuuuuuu zao.
Halaf li Diamond limenifurahisha kweli likaachia na African beauty eheheh likazidi kuwachafua haswa ,hivi we Shonza una maadili gani!? Diamond yupo jui acheni kumshusha ,sijui Watanzania tupoje baadhi yetu au unamtaka Diamond akukaze nini maana kwenye Yale mambo yetu Diamond ni balaa
Mfano wako haufit apa... Sina mamlaka na mke wa jirani ila Mamlaka ya mke wangu nnayo so ntamzuia.. tisiaraei wanayo mamlaka na uwezo wa kuzuia nyimbo za ndani na njeUpo radhi kumruhusu mke wako atembee nusu uchi kisa jirani yako kamruhusu mke wake kutembea nusu uchi