Diamond wakikubania sana hama nchi

Diamond wakikubania sana hama nchi

Ahame nchi tu hapo Kenya watampokea kwa mikono miwili na kumpa uraia haraka sana au nchi yoyote ile Afrika ambayo aitakayo. Hii nchi imejaa mashetani waliojivisha ngozi ya uongozi. Wanataka wao tu ndiyo waishi maisha ya hali ya juu wakiona walala hoi nao wanaibuka kimaisha wanaanza kuwawekea vikwazo mbali mbali vya kuwakwamisha.

Nchi imejaa wapumbavu wa hali ya juu. Wanajifanya wao watu wa maadili sana kumbe hawana maadili yoyote yale.

Hii nchi ishakuwa ya ajabu sana ,hivi nyie Basata au mawaziri wa sanaa mmeshawah kuwasaidia nini wasanii au kuwainua katika swala La mziki ,

Mkatae mkubali Diamond katutangaza duniani anapoenda kwenye matamasha makubwa ya nchi anabeba Bendera ya nchi ya Tanzania,anapotengeneza video anatumia gharama kubwa sana, pia kuwapata hao wasanii anaowashirikisha ni kazi kubwa,

Halafu anatokea mtu amekurupuka huko eti anamfungia nyimbo wakati hata kuwasaidia wasanii wenu hakuna inafanya mtu afikirie sana. Kwa upande wangu Diamond alivyojibu ni sahihii kabisa na ikibidi kama figisu zinazidi hama tu tutakuelewa maana hili linchi halieleweki yaan ni bongo bahati mbaya ,

Mnazuia mziki wa diamond zuieni na channel tunazoangalia za miziki ya duniani huko. Kwanza sisi mwenyewe tunapenda kuona hivyo vichuchu na vikalio kwenye video na mauno ya feni, maadili my foot hatuyataki hayo maadili yenu sisi yana msaada gani?

Kwa hili Basata fanyeni kazi zingine Hamna msaada na wasanii wa hapa nyumbani. Diamond wakibana hama na hiyo wasafi TV hamishia hata Kenya waimbe wao Basata tuone nani atasikiliza mfyuuuuuu zao.

Halaf li Diamond limenifurahisha kweli likaachia na African beauty eheheh likazidi kuwachafua haswa, Hivi we Shonza una maadili gani!? Diamond yupo jui acheni kumshusha, sijui Watanzania tupoje baadhi yetu au unamtaka Diamond akukaze nini maana kwenye Yale mambo yetu Diamond ni balaa
 
Mwambie ahame anachelewa. 2one how Far he can Go,without Tanzania support.[emoji13] [emoji41] [emoji41]
haha mbona tanzania support ipo...those 25 million..hata akihama still he will get those 25 million support akiwa huko nchi za wengine...kwani you tube ipo tanzania tu?! vevo ipo tanzania tu?! stream za kudownload album yake zipo bongo tu?! kwamba akihama anahama nazo
 
Ahame sasa
 
Kishajijengea jina kubwa sana duniani na Watanzania wanaojitambua wataendelea kumsupport tu kwani watamuelewa kwanini kaamua kuhama na kuchukua uraia wa Kenya au nchi yoyote ile ya Africa ila wasiojitambua ndiyo watampinga. Na muziki wa DP ni kama maji tu usipotaka kuyanywa basi huwezi kukwepa kuyaoga.

haha mbona tanzania support ipo...those 25 million..hata akihama still he will get those 25 million support akiwa huko nchi za wengine...kwani you tube ipo tanzania tu?! vevo ipo tanzania tu?! stream za kudownload album yake zipo bongo tu?! kwamba akihama anahama nazo
 
Hama nae kama vp,
Kuhama kwa Mond kunapunguza nin ktk ugali wangu wa kila siku?
 
Kisjajijengea jina kubwa sana duniani na Watanzania wanaojitambua wataendelea kumsupport tu kwani watamuelewa kwanini kaamua kuhama na kuchukua uraia wa Kenya au nchi yoyote ile ya Africa ila wasiojitambua ndiyo wanampinga. Na muziki wa DP ni kama maji tu usipotaka kuyanywa basi huwezi kukwepa kuyaoga.
point !

kwakweli labda wamtoe uhai kama alivyosema lakini wa kumshusha binadamu hamna
shukran ya punda mateke siku zote
lakin ni vema haya yakitokea mana sasa atawajua wapi wazuri kwake na wapi wabaya kwake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
alafu wakae wakijua kuwa mungu hakutuumba na nguo tumeumbwa uchi.. sasa hayo maadili hata mungu mwenyewe anashangaa hayo mambo yametokea wapi akati katuumba uchi
 
Kwahiyo ktika nyimbo zilizo fungiwa ipo ya mond tu au ndie yeye asiguswe kwenda nchi za nje hajaenda kwa sababu aitangaze tanzania anatafuta hela sasa kama kaonewa wazir alishasema zipo taratibu za kufata sema hapa bongo kuna watu wanajifanya wao king..mwambie arudie verse ktk wimbo wao " hiz zama za jomba magu sio za jk" anatakiwa aheshimu mamlaka za nchi mheshimiwa rais amekemea juu ya wanaovunja maadil ya kitanzania so waziri asifanye kaz kisa dimond yeye ndio rais wa nchi? Yeye rais wa wasafi sio tanzania tunajemedar wetu JOHN POMBE MAGUFUL ndie tunaemskiliza na kumfata sio wasanii wafate taratibu nacsheria na pia waheshimu maamlaka na wawe na heshima kwa viongoz wa nchi waache mapuuza
 
Ahame nchi tu hapo Kenya watampokea kwa mikono miwili na kumpa uraia haraka sana au nchi yoyote ile Afrika ambayo aitakayo. Hii nchi imejaa mashetani waliojivisha ngozi ya uongozi. Wanataka wao tu ndiyo waishi maisha ya hali ya juu wakiona walala hoi nao wanaibuka kimaisha wanaanza kuwawekea vikwazo mbali mbali vya kuwakwamisha.

Nchi imejaa wapumbavu wa hali ya juu. Wanajifanya wao watu wa maadili sana kumbe hawana maadili yoyote yale.
yaan mwanamke humtunzi wala kujua hali yake halaf unakuja kumpangia kazi kweli
 
Back
Top Bottom