Diamond wakikubania sana hama nchi

Diamond wakikubania sana hama nchi

Nafkir viongoz wa din ndio wangetoa somo sana juu ya maadili ili hata hao wasanii wabadilike kimaadili na sio kufungia nymbo
 
Naona mnapiga porojo zisizo na maana, mtu kutangaza nchi ndio iwe sababu ya yeye kukiuka taratibu na sheria za nchi???

Inafahamika music au video zenye viashiria vya nudity ni kinyume na sheria zetu. Halafu acheni double standard nyimbo za nay,roma na manfongo zote zimefungiwa mbona hatuoni mkiwaongelea na kuwatolea vilio vyenu.

Ifike muda tuobserve sheria haijalishi wew ni msanii mkubwa au mdogo.
 
Bagamoyo unachina nenda sumbawanga kabisa

Sumbawanga watakuendesha maana muda wote utaishia kutaja jina langu mwisho utabaki puti ....putiii ..putiii

Mie nataka unifae kwa matumiz yangu binafsi ya muda mrefu.
 
Nyimbo zake nyingi zina matusi tupu,Ile salome wameisahau tu awamu ya pili nayo waifungie
Mnamdanganya kabisa. Mimi ni shabiki wake lakini kwenye huu ujinga wake wala sipo pamoja naye.....hata uko kenya kuna sheria....waulize sauti soul walifungiwa mara ngapi video zao? mimi bado najiuliza kweli video zake hajaona shida? Diamond lazima ajirekebishe na ajifunze kupunguza mdomo...... Hakuna sehemu ana soko kubwa zaidi ya tanzania na hakuna anapo weza kuwa huru zaidi ya tanzania.....aende kenya aone,,,,
 
Kufungia video za local artist kisa maadili na kuziacha za kina nicki Minaj wakionesha maziwa ni sawa na kufunga milango ili kuzuia mbu lakini madirisha ukaacha wazi... Hujafanya lolote, mbu watakung'ata tu na malaria utapata
 
Naona mnapiga porojo zisizo na maana, mtu kutangaza nchi ndio iwe sababu ya yeye kukiuka taratibu na sheria za nchi???

Inafahamika music au video zenye viashiria vya nudity ni kinyume na sheria zetu. Halafu acheni double standard nyimbo za nay,roma na manfongo zote zimefungiwa mbona hatuoni mkiwaongelea na kuwatolea vilio vyenu.

Ifike muda tuobserve sheria haijalishi wew ni msanii mkubwa au mdogo.
wafungie na hizo channel za miziki ya nje iwe sawa au hunielewi we we,na movie wazuie,, yaan umfananisha platinum na manfongo ,si uwaongeleee na wewe hao wengine umezuiwa
 
Back
Top Bottom