Diamond Platnumz na Rayvanny wanawaburuza Wasanii wa Kibongo

View attachment 1888534
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.

Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.

Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
ila muziki wa bongo umekua aisee ...yaani diamond ana viewers wengi hivyo....kwa hizo streams million 30 kapata sh.ngapi?
 
View attachment 1888534
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.

Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.

Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
hivi jina la wimbo lazima liwe la kingereza ili hali content in ya kiswahili?
 
Back
Top Bottom