Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

Inasemwa kwamba jichunge sana na watu wanaokuzunguka, hivi Baba Levo ana uwezo gani wa kumsaidia Diamond kimuziki? Domo ni Muha wa Kigoma aishiye Tandale kwa Mtogole, eti kaenda US kwa kujifanya Mmasai kuvaa shuka aliyolalia bila chupi ili wamuonee hurumana kumpa tuzo. Kwa kweli dogo alichemsha kishenzi, I hope atakuwa kaipata chupi yake.
 
Hata kama sio shabiki wa Diamond; Naamini kushindwa kwake sio kwasababu ya kelele za watu fulani fulani wenye chuki zao binafsi, aliepata amestahili azidishe juhudi atapata mwaka wowote.

-Vazi lake halina ubaya wowote, alipendeza na alileta ubunifu fulani, maana tukiongea kuhusu suit kila mtu anazo, au angevaa tofauti mngesema tu maana wabongo hamna jema.

-Tukiachana na tuzo, yapo mengi sana anaweza kuyapata kupitia safari yake, hata kuangalia show za mbele atajifunza kitu kupitia wao lazima mtu atoke nje akapate Exposure

Sio kila jambo linatanguliza chuki wakuu.
 
Naona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.

Km nawaona,
Diamond "E bana siku hiyo nivaeje"
Salam "aah piga kimasai tu tuzo tunapata"
Babutale" sawa kabisa tuzo hapo itakuja kipawa"
Mama dangote "ndo manaake tuzo iende madale "
Diamond "imeisha hiyo "
E bana lete za kimasai na ngao na kisu kabisa naenda kufunika BET
Kilichotokea tunakijua.
 
Ni wivu tu na majungu vimewajaa, asingeenda na penyewe mngesema kaogopa.
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy
 
🎵
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli 🎵

Nimtume nani kule kwetu madale, 🎶
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,🎶

🎶 Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrika🎶

Lyrics by: Numbisa
Edited by : Kigoma Independent
 
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli

Nimtume nani kule kwetu madale,
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,

Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrika

Lyrics by: Numbisa
Edit by : Kigoma Independent
 
Bet walimuitaji kwa ajili ya video za kumpost kwenye status. na lingine ni maoneaho ya mavazi ya kiasili.
 
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.

Hii picha ya kichonganishi.

Mbona kapauka sana?
 
Kwenda pale amepata connections nyingi sana na amekutana na watu muhimu sana kwenye sanaa yake, na pengine atapata collabo nzuri tu na wasanii mbali mbali kitu ambacho ni tija kwake na taifa kwa ujumla..
Connection ipi wakati ameonekana mbugila mbugila tu nani anahangaika na mmasai🤣🤣😂😂🤣 mtu wa mwituni
 
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.

Those are chances to grab

Networking, creating a few business deals, kurekodi akiwa huko na kusafisha macho

Nasikitika Sana wabongo tumekua hater kiwango Cha lami
 
🎵
Yooh
Sikiliza napirisent, Wasafi porodaction
Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama jogoo wa rukeli keli 🎵

Nimtume nani kule kwetu madale, 🎶
Aende salima kule kwa mama totoo,
Mwambie huku BET ukumbini AC ni kali,
Na mimi nimefaa mgolori na nina sime kali.
Mimi mpaka sasa bado kamata Tuso,
Sipati hata salamu na picha na mastaa nimekosa,
Yani nimefaa kimasai lakini heshima mekosa,
Sana-sana wasungu wanacheka wanasema nimfaa uchi,🎶

🎶 Mi mmasai bwana nasema mi masai
Ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Nadumisha mila ile wengine ishashindwa
Mi mmasai bwana nasema mi masai
Tamaduni yenye nguvu ilobaki afrika🎶

Lyrics by: Numbisa
Edited by : Kigoma Independent
😂😂😂😂😂😂 Motika records
 
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.

Tatizo wabongo tumejawa na wivu plus chuki, baada ya mond kushindwa kuna m'mbwa wamefurahi sasa roho zao kwatuuu
 
Back
Top Bottom