Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Mimi pia nimemshuhudia JOH akiua coke studio,,
huu u dai dai u kiba kiba lazima upotee hapa.
labda umpoteze kiba, dai ni ngumu
Mimi pia nimemshuhudia JOH akiua coke studio,,
huu u dai dai u kiba kiba lazima upotee hapa.
labda umpoteze kiba, dai ni ngumu
katoa mbili?? hiyo ya pili ni ipi?? sasa mbona mashabiki hawaijui???
Bureeeeeee miguu yako tu