Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Screenshot_20210213-095510.png
 
Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021.

Source:SnS.

Hapo ndio utaona faida ya ubunifu wako.

Hapo utakuta wimbo ni wake asilimia 100 ( wimbo, beat ).

Hapa ndio wale wanaotumikishwa na Label wanapaswa kufikiria.

Ingekuwa ni kina Rayvanny, Mbosso au Lavalava ingekuwa bila bila au kiduchu maana siyo wamiliki wa nyimbo zao.

Pfunk alizoa 100M tena baada ya kupigwa panga Kwasababu ya beat lake la Nikusaidiaje.

Sasa Laizer sidhani kama anamiliki beats, zaidi anapewa mshahara tu.
 
Mzee baba umewahi kuajiriwa?
 
Hamna kutumikishwa na label bali unatimiza wajibu wako,kwani hata hao wanaojitoa kwenye label nao wana anzisha lebel (Harmonize,Mavocco).Mpaka unaona nao wameanzisha label manake wameona faida kwao na kwa wasanii wanao wasaini.

Sababu label inampunguzia mzigo sanii mchanga,kuanzia promo,distribution ya kazi zake.

Cha muhimu waingie mikataba ambayo ipo fair na kuhusu maswala ya mikataba wasanii wachache sana ndio wanaotilia mkazo.Kuna wasanii wakubwa wenye majina makubwa,hawapo kwenye label ,pamoja na mikataba yao kuisha na makampuni waliokuwa wana yatangaza lkn bado wananing'inia kwenye mabango.Hapo ndio ujua elimu kuhusiana na maswala ya mikataba inahitajika kwa wasanii wa level zote.

Ikiwezekana mikataba kuwe na mtu watatu kama BASATA aikague basi angalie kama ni win win,ila kwangu mimi label bado ni muhimu sana na ndio maana Nick Minaj,Rihanna,Drake pamoja na ukubwa wao na hela zao bado wapo chini ya label.
 
Back
Top Bottom